mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,955
- 43,388
Sio uongo hata!Lazima mtakulana hasa siku ukiwa na hasira na mpenzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio uongo hata!Lazima mtakulana hasa siku ukiwa na hasira na mpenzi wako
Kweli ni njaa.
Wana nini hawa?Ogopa sana wanawake wa Arusha na Moshi.
N A K A Z I AUkiikuta number ya X hakuna negotiation au maswali lazima AIFUTE, akikataa ni vita kuu ya tatu ya dunia, sipendi mazoea kwa mke wangu na X wake kwa sababu najua kibaya kinaweza kutokea na wala sio wivu au controling, experience imetufundisha hakuna faida ya mazoeana kama hayo zaidi ya hasara tuu

Ndio maana ni muhimu kula ndogo nyakati zote ili akisepa usimuwaze.Nawasihi vijana wenzangu wenye nia ya kuoa,
Nafahamu kabla ya ndoa kuna kile kipindi cha uchumba na kuchunguzana. Naomba muwe makini na watulivu katika kipindi hiko, mkijichanganya tu imekula kwenu. Wanawake wengi wanaitaka ndoa lakini kusimamia misingi ya ndoa imekua tatizo.
Kuweni makini na ma X wa mpenzi wako ambao wapo kwenye kitabu chake cha simu. Hawa mara nyingi mkigombana ndiyo hua kimbilio lake la kwanza kutafuta wa kumfariji.
Kuwa makini na yule X ambaye bado yupo kwenye mawasiliano yake ya simu na anawasiliana naye. Ukimuuliza kwanini hajafuta namba yake mara nyingi majibu ya hawa mabinti ni hua, "Siwezi futa namba ya mtu wakati hatukuachana kwa ubaya, siwezi jua kesho atakuwa na msaada gani kwangu," like WTF!
Kama hawajaachana kwa ubaya kwanini mapenzi yao hayakuishia kwenye ndoa? Ukituliza akili utagundua tu kuwa huyo ndiyo mwanaume wa ndoto zake, kwako amejiegesha kutafta stara ya ndoa tu.
Kijana shtuka mapema, kuna mwenzetu analia na kusaga meno huku. Amechanganyikiwa kabisa hapa, baada ya kukuta mazungumzo ya ma X zisizoeleweka!
Kweli usemalo...uzuri wako wee unasemaga ukweli. Basi tuu nimechelewa ila ulipaswa kuwa wife wanguHuyu ndo mzabzab ninae mjua sasa, sio yule wa saa ile 😀
Sasa kwani wee ukimpea mbususu ex wako shida iko wapiLazima mtakulana hasa siku ukiwa na hasira na mpenzi wako
Ningekuwa mke wako ningeiga tabia zako zote. Ukila mbususu nje na mie naenda kuliwaKweli usemalo...uzuri wako wee unasemaga ukweli. Basi tuu nimechelewa ila ulipaswa kuwa wife wangu
Shida utapata wewe mume, au utavumilia?Sasa kwani wee ukimpea mbususu ex wako shida iko wapi
Sasa haya ndio maneno...yaani ukitoka huko na style mupya mupya unakuja nifundisha na mie nakufundisha.Ningekuwa mke wako ningeiga tabia zako zote. Ukila mbususu nje na mie naenda kuliwa
Ha haaa Fala weweSasa haya ndio maneno...yaani ukitoka huko na style mupya mupya unakuja nifundisha na mie nakufundisha.
Siku ya siku tunawaalika micheps wetu tunaenjoy foursome ya maana
Shida kivipi tena wakati mie nafurahi kuwa unaleta style mupya mupyaShida utapata wewe mume, au utavumilia?
Ata wee najua waupenda ufala wanguHa haaa Fala wewe
Ooh basi unanifaa. Na ndoa yetu itadumuShida kivipi tena wakati mie nafurahi kuwa unaleta style mupya mupya
JingaaaaaAta wee najua waupenda ufala wangu
Ah itakuwa ya mileleOoh basi unanifaa. Na ndoa yetu itadumu