Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,100
- 8,213
Ni kweli kabisa ni kumuomba Mungu aingilie kati.
Niwewe pole acha kukubali wake za watu halafu unakuja kuliahukuNaam
Usioe kwenye familia ambayo mama hamuheshimu mume wake au wameachana kwa tabia mbovu za mke

Pale scania inapoondolewa na gia namba 9Wewe ni ex wangu kumbe!
Kivipi mkuu. Hebu tupe hata short storyHii imenigusa![]()
Kabisa mkuuUsioe binti mwenye urafiki na mama ake
Ex wako hana tofauti na mtu aliyeajiriwa ila anahisi kwamba anaweza kuacha kazi na kupiga mishe zake 😂😂😂Kama mimi kuna x wangu ananisumbua na kaolewa ana watoto wawili mara anasema anataka kuondoka mara kachoka mi nafanyia counselling ili abaki lakini bado jana tu nimeongea nae masaa mawili na yeye ndo kapiga hizi ndoa hizi sometimes ni kaa la moto
Ex wako hana tofauti na mtu aliyeajiriwa ila anahisi kwamba anaweza kuacha kazi na kupiga mishe zake![]()






hongera kwa kua muadilifu, nilitegemea wanawake watajitetea kwa jambo hili la kubaki na mawasiliano ya ma exEx hapaswi kuwa rafiki