franklewis
Member
- Oct 30, 2022
- 15
- 29
yaaani single mamaz ndio hovyo kbx aoTatizo bikra zimekua adimu. Cha msingi asiwe na maex wengi na asiwe single mother. Full stop!!
yaaani single mamaz ndio hovyo kbx aoTatizo bikra zimekua adimu. Cha msingi asiwe na maex wengi na asiwe single mother. Full stop!!
Sasa mliachana kwasababu gani kama bado mnapendana?Ukiona nina urafiki na ex ujue tunakulana
Mi Nina hasira ila huruma mbele yangu,huwa sifichi tabia yangu ya hasira ivo MTU anikubali kama nilivyo ivo hataona kuwa nimebadilikaWewe utakuwa unabadilikia wapi ndani au nje Tuanzie kwako
Aah mi hata sijui huwa inakuaje🤣🤣Sasa mliachana kwasababu gani kama bado mnapendana?
Hovyo kabisa.
Tatizo sie hatutaki kuwa wakweli. Wenye sifa za kuingia kwenye ndoa ni wachache sana tena sana. Wengi wetu tuendwlee tuu kukulana maana hatufai kuwa wake au mume.
Haya mwenyekiti Wenu Demi ashafungua kikao....ametanabaisha wazi Hana sifa ya kuwa mme mwema kwhy haoni sbb ya kuoa....hata ile ya kusema akioa atabadilika tabia anaona asije kuwa mnafiki...A naked truth..Tatizo sie hatutaki kuwa wakweli. Wenye sifa za kuingia kwenye ndoa ni wachache sana tena sana. Wengi wetu tuendwlee tuu kukulana maana hatufai kuwa wake au mume.
Utaumia bure ukijiaminisha mbususu yako peke yako. As long as hujamkuta bikra basi huyo hana sifa za kuwa mke. Huo ndio ukweli mchungu.
Huyu alishashindikana kitambo😅.Haya mwenyekiti Wenu Demi ashafungua kikao....ametanabaisha wazi Hana sifa ya kuwa mme mwema kwhy haoni sbb ya kuoa....hata ile ya kusema akioa atabadilika tabia anaona asije kuwa mnafiki...A naked truth..
Akabidhiwe AmberRutty huyo anamfaa Sana..uzabzab wake utakomaHuyu alishashindikana kitambo😅.
Ndoa sio kwa kila mtu.
Hawo mabikra wanatokea wapi kizazi hiki?kwakwer tutafte mabikra
wah formfour ndio wanamaliza sahz katika 100 lazma kuna 05 bikraHawo mabikra wanatokea wapi kizazi hiki?
Usioe binti mwenye urafiki na mama ake
Oyaaaaa ukweli mchungu kabsa😂😂😂Tatizo sie hatutaki kuwa wakweli. Wenye sifa za kuingia kwenye ndoa ni wachache sana tena sana. Wengi wetu tuendwlee tuu kukulana maana hatufai kuwa wake au mume.
Utaumia bure ukijiaminisha mbususu yako peke yako. As long as hujamkuta bikra basi huyo hana sifa za kuwa mke. Huo ndio ukweli mchungu.
Najifunza..Ex hapaswi kuwa rafiki
😂😂😂😂😂🤸 wazawa au hata wakazi?Ogopa sana wanawake wa Arusha na Moshi.
Lazima mtakulana hasa siku ukiwa na hasira na mpenzi wakoNajifunza..
Sasa X afanywaje? Alambwe block au? Huo sasa si uadui?Ukiona nina urafiki na ex ujue tunakulana
Huyu ndo mzabzab ninae mjua sasa, sio yule wa saa ile 😀Tatizo sie hatutaki kuwa wakweli. Wenye sifa za kuingia kwenye ndoa ni wachache sana tena sana. Wengi wetu tuendwlee tuu kukulana maana hatufai kuwa wake au mume.
Utaumia bure ukijiaminisha mbususu yako peke yako. As long as hujamkuta bikra basi huyo hana sifa za kuwa mke. Huo ndio ukweli mchungu.
Sitisha mawasiliano hasa kama upo kwenye ndoa. Imagine mumeo anawasiliana na ma-ex zake utakuwa na amani?Sasa X afanywaje? Alambwe block au? Huo sasa si uadui?