Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,353
- 6,976
- Thread starter
- #21
Mapenzi tu blazaInakuwaje unaoa mtu ana maex kibao?
Mapenzi tu blazaInakuwaje unaoa mtu ana maex kibao?
Kuna tofauti ya mapenzi na urafikiHuwezi tenganisha mapenzi ya mama kwa mtoto. Labda itokee tu
Ukiona nina urafiki na ex ujue tunakulanaLakini mimi na wewe tumeshibana
Lakini mimi sikukuli bhanaUkiona nina urafiki na ex ujue tunakulana
Asante kwa kuwasilisha mkuuNawasihi vijana wenzangu wenye nia ya kuoa. Nafaham kabla ya ndoa kuna kile kipindi cha uchumba na kuchunguzana. Naomba muwe makini na watulivu ktk kipindi hiko. Mkijichanganya tu imekula kwenu. Wanawake wengi wanaitaka ndoa lkn kusimamia misingi ya ndoa imekua tatizo.
Kuweni makini na ma-ex wa mpenzi wako ambao wapo kwenye phonebook yake. Hawa mara nyingi mkigombana ndio hua kimbilio lake la kwanza kutafta wa kumfariji.
Kua makini na yule ex ambae bado yupo kwenye contact zake za simu na anawasiliana nae. Ukimuuliza kwanini hajafuta namba yake mara nyingi majibu ya hawa mabinti ni hua, "Siwezi futa namba ya mtu wakati hatukuachana kwa ubaya, siwezi jua kesho atakua na msaada gani kwangu" like WTF!!! Kama hawajaachana kwa ubaya kwanini mapenzi yao hayakuishia kwenye ndoa? Ukituliza akili utagundua tu kua huyo ndio mwanaume wa ndoto zake, kwako amejiegesha kutafta stara ya ndoa tu.
Kijana shtuka mapema. Kuna mwenzetu analia na kusaga meno huku. Amechanganyikiwa kabisa hapa baada ya kukuta chat za maex zisizoeleweka!
Uzi tayari.
Wewe ni ex wangu kumbe!Lakini mimi sikukuli bhana
😃Wewe ni ex wangu kumbe!
Na huyo mwenzetu ndiyo wewe sasaNawasihi vijana wenzangu wenye nia ya kuoa. Nafaham kabla ya ndoa kuna kile kipindi cha uchumba na kuchunguzana. Naomba muwe makini na watulivu ktk kipindi hiko. Mkijichanganya tu imekula kwenu. Wanawake wengi wanaitaka ndoa lkn kusimamia misingi ya ndoa imekua tatizo.
Kuweni makini na ma-ex wa mpenzi wako ambao wapo kwenye phonebook yake. Hawa mara nyingi mkigombana ndio hua kimbilio lake la kwanza kutafta wa kumfariji.
Kua makini na yule ex ambae bado yupo kwenye contact zake za simu na anawasiliana nae. Ukimuuliza kwanini hajafuta namba yake mara nyingi majibu ya hawa mabinti ni hua, "Siwezi futa namba ya mtu wakati hatukuachana kwa ubaya, siwezi jua kesho atakua na msaada gani kwangu" like WTF!!! Kama hawajaachana kwa ubaya kwanini mapenzi yao hayakuishia kwenye ndoa? Ukituliza akili utagundua tu kua huyo ndio mwanaume wa ndoto zake, kwako amejiegesha kutafta stara ya ndoa tu.
Kijana shtuka mapema. Kuna mwenzetu analia na kusaga meno huku. Amechanganyikiwa kabisa hapa baada ya kukuta chat za maex zisizoeleweka!
Uzi tayari.
Tatizo bikra zimekua adimu. Cha msingi asiwe na maex wengi na asiwe single mother. Full stop!!kwakwer tutafte mabikra
Tuko pamoja. Mambo ya msingi haya lazma tukumbushane.Asante kwa kuwasilisha mkuu
Wewe utakuwa unabadilikia wapi ndani au nje Tuanzie kwakoWaingie taratibu au wakurupuke...wachunguze sana bado ndoa ni changamoto.Watu hubadilikia ndani
Sio mimi. Kuna single mother alinitia majanga, mawazo ya kuoa sina mkuu. Huyo ni mwenzetu tupo nae huku.Na huyo mwenzetu ndiyo wewe sasa