Ushauri wa bure kwa Kikwete

Ushauri wa bure kwa Kikwete

Makame hujafanya utafiti wa kutosha wazungu si watu wazuri wote wanaosema wanamwaminia kikwete ni wazungu na wote waliomheshimu kwa kuwa mwana democrasia ni madikteta ndugu yangu fanya utafiti wako vizuri- anayekutumia na kunufaika na ulimbukeni wako lazima awe ananufaika na hali uliyo nayo na ni lazima akuheshimu na kukutetea ili azidi kunufaika na ulimbukeni wako? Hata yeye mwenyewe anajua wanamtumia lakini ameshindwa kujitoa huko "obama akisema you are a good anamaanisha" does any body need to tell you, " your are a good man" find out! kumbuka hiyo ni statement ya rais wako katika kampeni za kwenda ikulu "IKULU ambayo NYERERE anasema ni mahali patatatifu, kama wazungu wanakutumia kwa maana hiyo panaweza tena kuwa patakatifu....... makame ndugu yangu vipi?
 
Makame hujafanya utafiti wa kutosha wazungu si watu wazuri wote unaosema wanamwaminia kikwete ni wazungu na wote waliomheshimu kwa kuwa mwana democrasia ni madikteta ndugu yangu fanya utafiti wako vizuri- anayekutumia na kunufaika na ulimbukeni wako lazima awe ananufaika na hali uliyo nayo na ni lazima akuheshimu na kukutetea ili azidi kunufaika na ulimbukeni wako? Hata yeye mwenyewe anajua wanamtumia lakini ameshindwa kujitoa huko "obama akisema you are a good anamaanisha" does any body need to tell you, " your are a good man" find out!
 
hahaha.. ndugu yangu kwani akili hiyo anayo??? alishalewa madaraka huyo hasikii ushauri wowote. labda ungemshauri atafaidika nini na mafisadi wenzake. lakini dawa yake itapatikana siku moja.. kwani kuna mtu aliye ota hata siku moja dola ya rumi inge anguka?
atakuja juta. mungu mkuu
 
Nimezungumza hapa KUCHAKACHUA NDOA.
A) DKT SLAA ametengana na Mke wake
B) DKT SLAA AMETWAA MKE WA MTU.
C) DKT Slaa ametuambia kuwa MKE WA MTU ni MKE WAKE.

Kuhusu Kuchomekewa; wala sifanyi RESEARCH, Nakupa kitu affirmative. Watanzania Wote wenye kudadisi mambo na kuwa na ufuatiliaji wanajua kuwa Slaa AMECHOMEKEWA; ndio maana ukazuka Usemi mpya Mjini usemao, 'PAPARA KAMA SLAA'. Akipewa kitu, hata kama ni dhahiri kuwa sio cha ukweli; anakurupuka na kunadi kuwa ana ushahidi. Kinyume na yeye, watu waliokuwa MAKINI kwenye kazi zao, hawachomekewi kirahisi rahisi namna hiyo. Ana Kurupuka wala hajapata majukumu ya kuendesha dola; akipewa WILAYA TU si atatoka POVU huyo?

Inaelekea hujui kuwa MSUYA alishabwagwa awali? wacha kukurupuka kama SLAA; ulizia kwa wanaofahamu utaambiwa. Ustaarabu wa Demokrasia ni kukubali matokeo; sio kukataa matokeo ikiwa umeshindwa. Wala sijashauri kuwa SK SLAA afuate kanuni za CCM, ila nimeshangaa kuwa hafuati kanuni za demokrasia; za kukubali matokeo kama anavyofuata Kikwete. Sio mtu ukubali matokeo ukishinda tu; hayo ni mmatatizo ya Waungu WATU. Watakuwambia I AM A BISHOP, I AM A VICAR. Sio hivyo, huku kwenye DEMOKRASIA inaangaliwa umepata KURA NGAPI. Kama KURA HAZIJATOSHA KUBALI, SIO UANZE KUZULIA WENZAKO KUWA WAMECHAKACHUA.

HOJA YA KUSEMA JK ANAKUBALIKA na INTERNATIONAL FIGURES, hao niliowataja HAPO ni wachache tu. Anakubalika Globally; Tena WATANZANIA DUNIA NZIMA WAMESHEHEREKEA USHINDI WA JK. Unatembelea Blog nyengine? Diaspora ya France, Italy, UK, Arabuni ETC wamefanya sherehe za kumuunga Mkono JK. Ingekuwa mimi ndio wewe, wala nisingeweka such a LOUSY comment against MZEE MANDELA; kwani WA TZ sio wote watakaokubaalika na Mandela.

Aidha, unaposema kuwa hao viongozi wengine wa West Wananufaika, hapo sikuelewi kabisa. Ninachoona ni kwamba you have overstreched your thinking capacity, and cannot come with something useful.

Kuhusu KURA kupungua from 80% to 61%.
1. More than 50% of registered voters did not vote, hao wangepiga kura; tungeona victory ya JK ikizidi 80%.
2. CAMPAIGN ZA SLAA ZILIMUOKOA KUPATA KURA, kwa sababu ya mianya aliyokuwa akiitumia. WEWE UNAFAHAMU, sihitaji kutaja humu.

MWISHO KABISA, mimi sifanyi UTETEZI na wala sitegemei UKUU WA WILAYA WALA MKOA. Mie nimejitolea kuwatoa matongotongo, pamoja na kwamba NAONA MUSHAMGEUZA SLAA KUWA MUNGU MTU. KUNA WENGINE WANASEMA DK SLAA HUWA HAKOSEI, humu humu.

Good Morning
Masuala ya uchafu wa ndoa muulize Kikwete kama yuko tayari kujadiliwa kwa hilo. Hapa unaandikia watu wenye kujua mengi, sioni hekima ya kujadili haya, kama ungekuwa mtu wake wa karibu usingejaribu hili..

Kuhusu kuchomekewa, naona kuna 'research' unaifanya hapa hivyo sikupi faida.

Kuhusu kuheshimu maamuzi ya 1995. Hayo ni mambo ya CCM kwamba kuna mtu au kikundi cha watu wachache kinaamua nani awe kiongozi. Maana ukweli ni kuwa Kikwete aliwabwaga Msuya na Mkapa mwaka ule. Uamuzi wa CCM kuongozwa na matakwa ya dikteta fulani au kikundi fulani cha kisultani isiwe ndio msaafu kwamba hata Dr. Slaa afuate nyayo za nyoka.

Ukiondoa Mandela ambaye anaheshimu watanzania wote hata kama ingekuwa Zuzu kawa Rais wa Tanzania, na sababu ya Mandela kufanya hivyo unaijua fika.

Hao wengine unajua fika wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi. Pia sioni kama ni vema kuorodhesha hapa makampuni makubwa ya uchimbaji madini, utafiti madini, ushauri na maeneo mengine ambapo nchi zao zinafaidika kwa kiasi kikubwa.

Kama kweli Kikwete amefanya kazi nzuri miaka mitano iliyopita, kwa nini pamoja na kuiba kura ameshuka kutoka zaidi ya 80% hadi 61%???

Utetezi wako unafaa ndani ya CCM peke yake. Upeleke huko wakupigie makofi, lakini fanya haraka kabla ya wiki ijayo maana utakosa washabiki. Wengi wanakenua na kupiga makofi saa hizi kwa ajili ya uwaziri, ubunge viti maalum, ukuu wa wilaya na mengineyo mengi. Maana mnadai CCM kazi nyingi....au kupeana kwingi???? kwa manufaa ya nani?????
 
NDUGU YANGU

DUNIA NZIMA IMEKUBALI USHINDI WA JK.

Salamu zimetinga kutoka Kila Capital.

Observers from all over the world wametoa POSITIVE REPORTS.

Usikurupuke na Majibu kama SLAA.

USHASOMA KITABU CHA ABDULRAHMAN MOHAMMED BABU - cha Siku Mia Baada ya Mapinduzi? Kakisome kile ujuwe mengi na uweze kupata ya kuchangia humu.

Makame hujafanya utafiti wa kutosha wazungu si watu wazuri wote wanaosema wanamwaminia kikwete ni wazungu na wote waliomheshimu kwa kuwa mwana democrasia ni madikteta ndugu yangu fanya utafiti wako vizuri- anayekutumia na kunufaika na ulimbukeni wako lazima awe ananufaika na hali uliyo nayo na ni lazima akuheshimu na kukutetea ili azidi kunufaika na ulimbukeni wako? Hata yeye mwenyewe anajua wanamtumia lakini ameshindwa kujitoa huko "obama akisema you are a good anamaanisha" does any body need to tell you, " your are a good man" find out! kumbuka hiyo ni statement ya rais wako katika kampeni za kwenda ikulu "IKULU ambayo NYERERE anasema ni mahali patatatifu, kama wazungu wanakutumia kwa maana hiyo panaweza tena kuwa patakatifu....... makame ndugu yangu vipi?
 
Ndugu yangu

Dola nyingi zilianguka, siyo ya KIRUMI peke yake.

Mie nashangaa; hivi kweli mnataka tufanye USHABIKI wa Kumshangilia SLAA hata kama KACHEMKA? Perhaps JK na CCM sio The Best; lakini SLAA na CHADEMA SIO ALTERNATIVE.

Think Critically
Think Loudly
Think clearly
Think Analitically
Think Positively

THIS IS SAID TO BE A PLACE OF GREAT THINKERS, THINK NOW!!

hahaha.. ndugu yangu kwani akili hiyo anayo??? alishalewa madaraka huyo hasikii ushauri wowote. labda ungemshauri atafaidika nini na mafisadi wenzake. lakini dawa yake itapatikana siku moja.. kwani kuna mtu aliye ota hata siku moja dola ya rumi inge anguka?
atakuja juta. mungu mkuu
 
Ndugu yangu

Dola nyingi zilianguka, siyo ya KIRUMI peke yake.

Mie nashangaa; hivi kweli mnataka tufanye USHABIKI wa Kumshangilia SLAA hata kama KACHEMKA? Perhaps JK na CCM sio The Best; lakini SLAA na CHADEMA SIO ALTERNATIVE.

Think Critically
Think Loudly
Think clearly
Think Analitically
Think Positively

THIS IS SAID TO BE A PLACE OF GREAT THINKERS, THINK NOW!!

JK amekubali ushauri wa mada hii, na ameahidi kuufanyia kazi. Nadhani unasikiliza vizuri hotuba zake baada ya kutangazwa, baada ya kuapishwa na kule 'home town' msoga.

Makame uko off the radar.

Na siasa za namna ya hoja zako ndio zimekiponza chama cha mapinduzi. Mfano mdogo tu ni jinsi unavyodai Dr. Slaa anakurupuka wakati unafahamu fika kuwa umakini wa Dr. Slaa ndio ulioitetemesha CCM katika kipindi cha 2005-2010.

Hiyo mipasho ya kukurupuka kwa Dr. Slaa hukuianza wewe, walianza babu zako tangu kwenye masuala ya EPA na Richmond.

Tumewazoea sana nyie na misamiati yenu, umakini mnaita kukurupuka, na mungu wenu rushwa mnamuita takrima.
 
NDUGU YANGU

DUNIA NZIMA IMEKUBALI USHINDI WA JK.

Salamu zimetinga kutoka Kila Capital.

Observers from all over the world wametoa POSITIVE REPORTS.

Usikurupuke na Majibu kama SLAA.

USHASOMA KITABU CHA ABDULRAHMAN MOHAMMED BABU - cha Siku Mia Baada ya Mapinduzi? Kakisome kile ujuwe mengi na uweze kupata ya kuchangia humu.

Dunia nzima ndio kitu gani makame? Hivi wewe unadhani marekani ndio dunia nzima? Na hao observers wangekuwa 'from all the world' wangeweza kufanya kazi kweli???

How big is your world makame?

Hivi kusoma hicho kitabu kimoja ndio kumpe mtu cha kuandika. Huwezi kusoma kitabu cha kibinadamu kimoja ukakamilika kimtazamo, huo utakuwa mtazamo wa A.M. Babu ambao ni wa kibinadamu, wenye mapungufu yake na 'angle' yake.

Kihistoria kuna wakati binadamu walijiona wamefika mbali sana baada ya kugundua jiwe la kutwangia nafaka. Mpaka sasa Makame unaniambia nisome kitabu chenye mbinu za kutwanga kwa jiwe hilo. Heshima sana kwa babu...lakini ujue dunia inabadilika sana tena kwa kasi sana.

Anyway endelea na huo msahafu wako.
 
Nimezungumza hapa KUCHAKACHUA NDOA.
A) DKT SLAA ametengana na Mke wake
B) DKT SLAA AMETWAA MKE WA MTU.
C) DKT Slaa ametuambia kuwa MKE WA MTU ni MKE WAKE.

Hapa wanasiasa unaowatetea watakukana, maana kwanza huu ni uzushi mtupu lakini pili wao ni hatari eneo hilo, nimekuonya sana usiwaponze, tutaandika hapa na kutoa picha za ushahidi...shauri yako.

Kuhusu Kuchomekewa; wala sifanyi RESEARCH, Nakupa kitu affirmative. Watanzania Wote wenye kudadisi mambo na kuwa na ufuatiliaji wanajua kuwa Slaa AMECHOMEKEWA; ndio maana ukazuka Usemi mpya Mjini usemao, 'PAPARA KAMA SLAA'. Akipewa kitu, hata kama ni dhahiri kuwa sio cha ukweli; anakurupuka na kunadi kuwa ana ushahidi. Kinyume na yeye, watu waliokuwa MAKINI kwenye kazi zao, hawachomekewi kirahisi rahisi namna hiyo. Ana Kurupuka wala hajapata majukumu ya kuendesha dola; akipewa WILAYA TU si atatoka POVU huyo?

Usemi mpya ukazuka wapi??? au ndani ya CCM ili kujipendekeza kwa ajili ya viti maalum. Suala la kupewa wilaya...hivi Dr. Slaa unamfananisha na Nape????You must be out of your skull.

Inaelekea hujui kuwa MSUYA alishabwagwa awali?

Hapa ndo umeonyesha kuwa wewe ni mtoto wa juzi. Awali ipi hiyo...kilichofanya uchaguzi urudiwe tena baada ya JK kushinda mwanzoni na Benja kuwa wa pili kisha Cleopa wa tatu ni nini? Acha kuanguka kifafa kama Kikwete.

demokrasia; za kukubali matokeo kama anavyofuata Kikwete. Sio mtu ukubali matokeo ukishinda tu; hayo ni mmatatizo ya Waungu WATU.

Hakuna chama tawala duniani kingetoka madarakani kama watu wangekuwa wanakubali matokeo kipumbavu kama wana CCM kwenye kura za maoni.

HOJA YA KUSEMA JK ANAKUBALIKA na INTERNATIONAL FIGURES, hao niliowataja HAPO ni wachache tu. Anakubalika Globally; Tena WATANZANIA DUNIA NZIMA WAMESHEHEREKEA USHINDI WA JK. Unatembelea Blog nyengine? Diaspora ya France, Italy, UK, Arabuni ETC wamefanya sherehe za kumuunga Mkono JK.

Unatembelea blog nyingine! Sikutegemea kama hoja ya kichovu hivi ingeletwa hapa. Unamwongelea nani maana hizo blog ni watu na sio pipi. Unaongelea watoto wao na vibaraka wao na vimada wao kwamba wamefanya sherehe za kuwaunga mkono???.naomba niishie hapo tafadhali. Unanitafutia kufungiwa wewe.

Aidha, unaposema kuwa hao viongozi wengine wa West Wananufaika, hapo sikuelewi kabisa.

Huwezi kuelewa....wewe huna uwezo wa kuona nchi yako inavyobakwa. Naomba niishie hapo pia.

Kuhusu KURA kupungua from 80% to 61%.
1. More than 50% of registered voters did not vote, hao wangepiga kura; tungeona victory ya JK ikizidi 80%.

Acha pumba wewe...watu waliozuiwa na NEC kwa makusudi wasipige kura ili wasiipigie CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wangeipigia CCM au unasema mmekosa kura za kutosha za kuchakachua????

2. CAMPAIGN ZA SLAA ZILIMUOKOA KUPATA KURA, kwa sababu ya mianya aliyokuwa akiitumia. WEWE UNAFAHAMU, sihitaji kutaja humu.

Taja tu...kwamba kwa sababu JK alitetea mafisadi walioiba pesa za wapiga kura na kutumia kumweka madarakani na kisha kuzifuja zilizobaki kwa safari za anasa ulaya.

MWISHO KABISA, mimi sifanyi UTETEZI na wala sitegemei UKUU WA WILAYA WALA MKOA.

Unapoteza muda wewe. Kwa pumba zako hata ukuu wa nyumbani kwako haukufai. Bora watoto wako wakuongoze.
 
WADAU MIMI NIKO TANZANIA, tatizo ni kuwa OBJECTIVE.

Kama ni ishu ya kutetea UTAIFA, basi la kwanza kabisa ni kulinda amani tuliyo nayo; sio kuleta chokochoko. Zoezi la kupiga kura lishapita, na Watanzania Walio wengi wamempatioa KURA JK; hivyo; tuheshimu chaguo lao.

Aidha, nilitakiwa nitoe evidence, nimetoa report ya SADC, sasa kituu gani tena?

Penye amani, ndipo inapopatikana NEEMA na MAENDELEO.

Wadau, maisha baada ya Uchaguzi yashaanza. JK anaapa kesho tukijaaliwa, ataunda Baraza jipya, ambapo kutakuwa na sura mpya. Idadi ya wapinzani Bungeni imeongezeka, hivyo Bunge linatazamiwa kuwa lenye tija zaidi kuliko lililotangulia; na hiyo ni +ve achievement kwa Taifa letu.

TANZANIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!

Wewe si fisadi nani hakujui wewe? Toka zako hapa watu hatujui tutakula nini leo wewe na mafisadi wenzako mnakula tu huko kwenu Oysterbayacha watanzania wenye machungu tulalamike bwana..tunajua nini tunalalamikia wewe...
 
AKASHUBE,

kwangu mimi ulisha PROVE KUWA UELEWA WAKO WA MAMBO NI HABA AU DUNI KABISA. Sasa naona unakazana kuwathibitishia wana JF hilo.

Nafahamu fika kuwa Darasani ulienda kukariri, basi walau STATISTICAL PROCEDURES? You make Inferences using a REPRESENTATIVE SAMPLE. Sasa wewe ulitaka dunia nzima ije hapa kusimamia uchaguzi; Oooooh my God! alafu eti mwenyewe unaona unatoa hoja ya ku encounter HOJA! Poor you!

Ukiendeleza huo mjadala nitakuletea links usome zitakazokusaidia kufahamu jinsi ya kutumia sample to make inferences about the population.

Likewise, KUHUSU HICHO KITABU CHA BABU, nilitaka kukupeleka ukaone Jinsi USA walivyomsaidia Hayati Julius Kambarage Nyerere kubaki IKULU; tena kuna references hadi za US Presidential zilikopatikana formerly classified documents jinsi Mwalimu alivyolindwa na Wamarekani.

Na hio niliiweka hapo ili kukabiliana na ULE UJINGA UNAOENDELEA, wa kuwadharau VIONGOZI WETU KAMA MWINYI NA MKAPA; eti "IKULU ILIKUWA TAKATIFU WAKATI WA NYERERE TU; hawa wengine walikuwa vibaraka". Siwezi nikakupeni listi ya references nyingi; kwani natambua JF mara nyingi mnapenda KUKURUPUKA KAMA SLAA na hamupendi kusoma ili kuwa na facts. Nikikuorodhoshea list of reference unazohitaji kupitia ili uweze kuongea na kujibishana na mimi utashindwa ku comprehend. It will take a gr8 deal of your time and effort. Kwenye hilo bora:tape:

Dunia nzima ndio kitu gani makame? Hivi wewe unadhani marekani ndio dunia nzima? Na hao observers wangekuwa 'from all the world' wangeweza kufanya kazi kweli???

How big is your world makame?

Hivi kusoma hicho kitabu kimoja ndio kumpe mtu cha kuandika. Huwezi kusoma kitabu cha kibinadamu kimoja ukakamilika kimtazamo, huo utakuwa mtazamo wa A.M. Babu ambao ni wa kibinadamu, wenye mapungufu yake na 'angle' yake.

Kihistoria kuna wakati binadamu walijiona wamefika mbali sana baada ya kugundua jiwe la kutwangia nafaka. Mpaka sasa Makame unaniambia nisome kitabu chenye mbinu za kutwanga kwa jiwe hilo. Heshima sana kwa babu...lakini ujue dunia inabadilika sana tena kwa kasi sana.

Anyway endelea na huo msahafu wako.
 
1.Weka picha NK.
2. Jua kuwa huo usemi upo.
3. Sasa umesema. Msuya alitokea wa TATU, then he went out of the race leaving MKAPA and JK. Hiyo Awali maanake Msuya alitoka mwanzo. Na Awali ni Mwanzo. ELIMIKA WALAU KIDOGO.
4. Sehemu yoyote inapokuwa practized democracy; watu wanaheshimu matokeo. Wewe na wenzio mnaonekana mnapendelea zaidi ubabe na ku impose ideas zenu kwa watu japo kuwa washapiga kura na kusema against ur wishes.
5. Kuhusu BLOGS nyengine, you are entitled to have your contaminated opinion. La msingi ni kwamba kama wewe ulivyokuwa unajaribu kusema kuwa JK hakubaliki, bila ya kutoa ushahidi; mimi nimetoa ushahidi. Wewe unauita wa Kichovu; powa: mimi ninaomba uweke wa kwako uliokuwa sio wa kichovu [kwa sababu bora ushahidi huo kuliko ile Barua Iliyochakachuliwa na CHADEMA] kutetea hoja yako.
6. Ni kweli, kwani mimi uelewa wangu wa awali unaniambia kuwa ADUI namba moja wa TAIFA hili ni yule asiyeheshimu uamuzi wa KIDEMOKRASIA Wa WATANZANIA. Una bahati hii ni Tanzania, ingekuwa CHINA, watu kama wewe unajuwa wanapotunziwa.

Hapa wanasiasa unaowatetea watakukana, maana kwanza huu ni uzushi mtupu lakini pili wao ni hatari eneo hilo, nimekuonya sana usiwaponze, tutaandika hapa na kutoa picha za ushahidi...shauri yako.

Usemi mpya ukazuka wapi??? au ndani ya CCM ili kujipendekeza kwa ajili ya viti maalum. Suala la kupewa wilaya...hivi Dr. Slaa unamfananisha na Nape????You must be out of your skull.

Hapa ndo umeonyesha kuwa wewe ni mtoto wa juzi. Awali ipi hiyo...kilichofanya uchaguzi urudiwe tena baada ya JK kushinda mwanzoni na Benja kuwa wa pili kisha Cleopa wa tatu ni nini? Acha kuanguka kifafa kama Kikwete.

Hakuna chama tawala duniani kingetoka madarakani kama watu wangekuwa wanakubali matokeo kipumbavu kama wana CCM kwenye kura za maoni.

Unatembelea blog nyingine! Sikutegemea kama hoja ya kichovu hivi ingeletwa hapa. Unamwongelea nani maana hizo blog ni watu na sio pipi. Unaongelea watoto wao na vibaraka wao na vimada wao kwamba wamefanya sherehe za kuwaunga mkono???.naomba niishie hapo tafadhali. Unanitafutia kufungiwa wewe.

Huwezi kuelewa....wewe huna uwezo wa kuona nchi yako inavyobakwa. Naomba niishie hapo pia.

Acha pumba wewe...watu waliozuiwa na NEC kwa makusudi wasipige kura ili wasiipigie CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wangeipigia CCM au unasema mmekosa kura za kutosha za kuchakachua????

Taja tu...kwamba kwa sababu JK alitetea mafisadi walioiba pesa za wapiga kura na kutumia kumweka madarakani na kisha kuzifuja zilizobaki kwa safari za anasa ulaya.

Unapoteza muda wewe. Kwa pumba zako hata ukuu wa nyumbani kwako haukufai. Bora watoto wako wakuongoze.
 
Kikubwa katika vitu mnavyolalamikia ni kwamba KAMPENI ZILIPIGWA PIA KATIKA MISINGI YA UDINI, unafikiri nani hajui hilo?

It was a Crusade; SASA waheshimiwa. Hili TAIFA tukianza UDINI tutafika? we are more united as TANZANIANS than as Waislamu au Wakristu.

Tukileta hizo tu

Tutafikia

Waroma, SDA, KKKT nk

Tunaenda wapi?

TUHESHIMU MATOKEO

TUWACHE MISINGI YA KISENGE YA UBAGUZI

TUTUMIE UMOJA WETU KAMA NGAO YETU

Wewe si fisadi nani hakujui wewe? Toka zako hapa watu hatujui tutakula nini leo wewe na mafisadi wenzako mnakula tu huko kwenu Oysterbayacha watanzania wenye machungu tulalamike bwana..tunajua nini tunalalamikia wewe...
 
Kikubwa katika vitu mnavyolalamikia ni kwamba KAMPENI ZILIPIGWA PIA KATIKA MISINGI YA UDINI, unafikiri nani hajui hilo?

It was a Crusade; SASA waheshimiwa. Hili TAIFA tukianza UDINI tutafika? we are more united as TANZANIANS than as Waislamu au Wakristu.

Tukileta hizo tu

Tutafikia

Waroma, SDA, KKKT nk

Tunaenda wapi?

TUHESHIMU MATOKEO

TUWACHE MISINGI YA KISENGE YA UBAGUZI

TUTUMIE UMOJA WETU KAMA NGAO YETU

Duh! Hiyo red hapo nimenyoosha mikono. Kwa hiyo kumbe tofauti kubwa kimsingi kati yetu ni CHADEMA (Dk Slaa) na CCM ( J. Kikwete). Mengine yote yanasomeka na mwenye akili anaona kipi ni kipi.

Kama unachukia ubaguzi kwa kiwango hicho, basi wewe na mimi kwenye hilo tuko pamoja na hii inaonyesha unaelewa unachoandika na unaelewa fika unachotetea hivyo tunatofautiana mitazamo ya kiitikadi, jambo ambalo si dhambi.

Endelea kuamini kuwa una ushahidi wa kutosha kuwa CCM ni bora, na mimi nitaendelea daima kuamini kuwa CCM imeoza na inahitaji kuwapisha CHADEMA na CUF waongoze Tanzania. Naendelea kuamini kuwa tumepoteza nafasi ya kuongozwa na kiongozi mwenye 'vision' Dr. Slaa au pengine Prof. Lipumba. Jakaya simkubali hata kidogo.....miaka mitano ya 2005 - 2010 ameboronga sana.

Nitafurahi kuendelea kuacha mambo ya 'private' mbali na 'public', hasa yanayohusu viongozi wa nchi.

Lakini bado sielewi Makame...kwa mtu anayechukia ubaguzi kiasi ulichoonyesha kwenye maandishi yako inawezekanaje ukafumba macho kiasi cha kutoona machafu ya CCM. Au wewe ni muumini wa 'scientology'? Kwamba huwezi kuamini kwamba mtu amekufa kwa kusikia tu au kuudhuria mazishi, mpaka uage kikristo...uone kabisa jamaa kwenye jeneza, wengine hujifanya wana huzuni sana kiasi cha kuigusa maiti na kuilalia huku wakitoa mayowe na kuangukia juu ya jeneza kumbe wanapima kama kuna dalili za uhai au ndo ameondoka kweli kweli.

Makame 'patriotism' unayoionyesha kwenye maandishi niliyoyanukuu hapo juu na jinsi unavyopinga wanamageuzi walioleta changamoto zenye manufaa kwa nchi yetu...ni mambo ambayo nakiri kuwa yananichanganya ubongo. 'how possible?'

Pengine ni ule msemo wa kifalsafa...'if you knew what i know....'
 
6. Ni kweli, kwani mimi uelewa wangu wa awali unaniambia kuwa ADUI namba moja wa TAIFA hili ni yule asiyeheshimu uamuzi wa KIDEMOKRASIA Wa WATANZANIA. Una bahati hii ni Tanzania, ingekuwa CHINA, watu kama wewe unajuwa wanapotunziwa.

Umesahau ulidai kuwa siwezi kuhatarisha maisha yangu kwa kuandika kwenye 'blog'. Sasa watu kama mimi maana yake ni nini...in the absence of the so called 'blog' how would you categorize me as 'watu kama...'????? wakati huo ukidai wewe uko tayari kufa kwa ajili ya nchi hii....kufa kwenye maandishi ya kuitetea CCM au kufaje??? sasa unadai ingekuwa CHINA...???? unaonyesha tabia za kuwa mbishi na sina tabia ya kujadiliana na wabishi na endapo nitathibitisha hilo sitakujibu popote pale.

Pia ujue kuwa hiyo unayotaka wewe iheshimiwe siyo demokrasia ni domokrasia. kwamba watu wawe wananajisi kura za wananchi wakijua baada ya uchaguzi watasema uchaguzi umeisha tusonge mbele.....namna hiyo hatutafika.

Ukweli ukifukiwa kwa muda mrefu huzaa moto usiozimika...kama unafahamu historia unalifahamu hilo. Kama tunaipenda nchi yetu kweli kweli basi tuungane kupinga wizi wa kura...tusifukie fukie tu mashimo bila kutoa mabomu yaliyoko ndani yake...baadaye yatatulipukia wenyewe!!!!!!!!!!!!!!
 
AKASHUBE

Niliwahi kusema kuwa CCM is not in its BEST FORM and it may not be the PERFECT POLITICAL PARTY. Ila pia nilibainisha kuwa kwa sasa there is no credible alternative; ndio maana TANZANIANS ELECTED IT BACK into POWER.

KAMA umesoma KATIBA ya CCM ni ile inayosema KILA MTU ATATAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE; inapinga ubaguzi wa aina yoyote na zote. Ni kweli Oflate, CCM imekuwa iki underperform; sio kama vile ilivyokuwa miaka ya NYUMA. Ni kama vile una mwanao au mdogo wake anayeanza kushuka kiwango shuleni; UTAMTIMUA ili ulete an UNKNOWN ALTERNATIVE au utafanya jitihada za kumrekebisha? Kumbuka hawa VIONGOZI WENGI WALIOKUWEPO KWENYE OPPOSITION NI REJECTS ZA CCM; akiwemo Mmang'ati Willbroad Peter Slaa.

Mimi ninachokiona ni kwamba kuna GENERATION LAPSE ambayo wazee [Ambao ndio viongozi] hawataki kutambua kuwa muda wao kwenye active and day to day politics is over. We need YOUNG MEN AND WOMEN, wenye new ideas kwenye leadership ya Chama na Serikali. PEOPLE LIKE YUSUF MAKAMBA AND PIUS MSEKWA SHOULD GO. Mimi naona CCM ina experience,vision, achievements na vigezo vya kuendelea kuwa Chama TAWALA kwa muda mrefu ujao; TATIZO NI KUWA IKUBALI KUBADILIKA FROM WITHIN; ikubali kuwa kuna GENERATION LAPSE; sio watu TANGU TANU NA ASP; wakiwa viongozi tangu zama hizo mpaka zama hizi; hiyo haiwezekani!! NA endapo hilo litatokea IMMEDIATELY ili kukiimarisha Chama, basi chama KITAPATA 'ARI MPYA, NGUVU MPYA na KASI MPYA' YA KWELI. Nina imani kubwa hayo yatatokea, na hivyo following that development; nitakualika UJIUNGE na CCM. Kwa sasa siwezi, kwani kazi inayodhamiriwa kufanyika haijafanyika. MBOWE NA MREMA WAMEJIONA KUWA HAWAWEZI KUSHINDA URAISI NDIO MAANA HAWAKUGOMBEA, Upinzani nao inabidi wakubalihali halisi, kama ifuatavyo:-

1. CUF, Lipumba na Seif, wamekuwa wakigombea URAIS tangu 1995. Mie sioni kuwa hilo ni sawa. Kiongozi anayegombea URAIS agombee mara moja tu; akishindwa apishe wenziwe wenye MVUTO ZAIDI NA MAWAZO MAPYA. Huu umimi hautosaidia Multi Partism. Waangalie UK inavyokuwa.

2. Generation Lapse is also an issue kwa upande wa opposition.

Kama nilivyokwishakueleza awali; naongeza na jingine 'MTOTO AKIKUNYEA MKONONI, UTAUKAtA au AUTAUOSHA'? Huyo ndio CCM. I will dedicate my energy katika ku revamp CCM, kama alivyofanya Tony Bliar Kwenye NEW LABOUR; ila iwe with sustainable outlook. Mimi inanikera kwamba Julius Nyerere became the PM at 39 in 1961; leo MTU mwenye 39 haonekani kuwa amewiva vya kutosha. Inawezekana kuwa huenda ikaonekana kama SHOCK; basi 2015 mgombea URAIS awe between 45 and 55; preferably under 50. TANZANIA KUONGOZWA NA VIJANA INAWEZEKANA. TANZANIA KUONGOZWA NA VIJANA WATOKANAO NA CCM INAWEZEKANA; kwani wazee ni hazina na watabaki kutoa ushauri.

Hivyo mimi sipingi WANAMAGEUZI; nawapenda SANA; lakini MAGEUZI YA UKWELI YANAANZA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Kwa hio sio kwamba I am a Scientologist; bali ni kweli kwamba CCM haijakufa; CCM haifi na CCM haitokufa. CCM ina historiaadilifu na nyeti sana kiasi ya kwamba kuiacha if ni sawa na kuikana historia ya TAIFA LETU.

Duh! Hiyo red hapo nimenyoosha mikono. Kwa hiyo kumbe tofauti kubwa kimsingi kati yetu ni CHADEMA (Dk Slaa) na CCM ( J. Kikwete). Mengine yote yanasomeka na mwenye akili anaona kipi ni kipi.

Kama unachukia ubaguzi kwa kiwango hicho, basi wewe na mimi kwenye hilo tuko pamoja na hii inaonyesha unaelewa unachoandika na unaelewa fika unachotetea hivyo tunatofautiana mitazamo ya kiitikadi, jambo ambalo si dhambi.

Endelea kuamini kuwa una ushahidi wa kutosha kuwa CCM ni bora, na mimi nitaendelea daima kuamini kuwa CCM imeoza na inahitaji kuwapisha CHADEMA na CUF waongoze Tanzania. Naendelea kuamini kuwa tumepoteza nafasi ya kuongozwa na kiongozi mwenye 'vision' Dr. Slaa au pengine Prof. Lipumba. Jakaya simkubali hata kidogo.....miaka mitano ya 2005 - 2010 ameboronga sana.

Nitafurahi kuendelea kuacha mambo ya 'private' mbali na 'public', hasa yanayohusu viongozi wa nchi.

Lakini bado sielewi Makame...kwa mtu anayechukia ubaguzi kiasi ulichoonyesha kwenye maandishi yako inawezekanaje ukafumba macho kiasi cha kutoona machafu ya CCM. Au wewe ni muumini wa 'scientology'? Kwamba huwezi kuamini kwamba mtu amekufa kwa kusikia tu au kuudhuria mazishi, mpaka uage kikristo...uone kabisa jamaa kwenye jeneza, wengine hujifanya wana huzuni sana kiasi cha kuigusa maiti na kuilalia huku wakitoa mayowe na kuangukia juu ya jeneza kumbe wanapima kama kuna dalili za uhai au ndo ameondoka kweli kweli.

Makame 'patriotism' unayoionyesha kwenye maandishi niliyoyanukuu hapo juu na jinsi unavyopinga wanamageuzi walioleta changamoto zenye manufaa kwa nchi yetu...ni mambo ambayo nakiri kuwa yananichanganya ubongo. 'how possible?'

Pengine ni ule msemo wa kifalsafa...'if you knew what i know....'
 
AKASHUBE

Hadithi ya Doubting Thomas nina imani unaijuwa.

Sasa katika Riwaya hiyo, Tomaso aliendelea kukataa kwamba aliyesulubiwa amefufuka. Akazidi kukataa ndio mwenyewe hata baada ya kumuona na akaendelea hata baada ya kuona majeraha ya misumari. Mimi nimejifunza kuwa kuna akina Tomaso wengi katika mazingira tofauti, ikiwemo hili la kura.

Ni nini matokeo ya KURA?

1. CCM imepoteza viti vingi kwa wapinzani; Ishara ya mambo mawili:-

(i) Upinzani unaimarika na kukua
(ii) CCM imepuza umaarufu.

2. Kwenye kura za URAIS , CCM imepoteza takriban 20%, ikimaanisha kuwa Wananchi wametuma MESSAGE kuwa expectations zao hazijawa attained.

3. OVERALL Results ni kwamba CCM imeshinda uchaguzi wa Rais na imebata viti vingi Bungeni. Observers wamesema hivyo na Taasisi za uchaguzi pia.

Sisemi hapakuwa na Tatizo hata moja; na the best way ni ku pursue through mahakama.

Na la muhimu zaidi, ni kwamba RAIS AKISHATANGAZWA, huwa RAIS MPAKA MANDATE YAKEITAKAPOMALIZA

Umesahau ulidai kuwa siwezi kuhatarisha maisha yangu kwa kuandika kwenye 'blog'. Sasa watu kama mimi maana yake ni nini...in the absence of the so called 'blog' how would you categorize me as 'watu kama...'????? wakati huo ukidai wewe uko tayari kufa kwa ajili ya nchi hii....kufa kwenye maandishi ya kuitetea CCM au kufaje??? sasa unadai ingekuwa CHINA...???? unaonyesha tabia za kuwa mbishi na sina tabia ya kujadiliana na wabishi na endapo nitathibitisha hilo sitakujibu popote pale.

Pia ujue kuwa hiyo unayotaka wewe iheshimiwe siyo demokrasia ni domokrasia. kwamba watu wawe wananajisi kura za wananchi wakijua baada ya uchaguzi watasema uchaguzi umeisha tusonge mbele.....namna hiyo hatutafika.

Ukweli ukifukiwa kwa muda mrefu huzaa moto usiozimika...kama unafahamu historia unalifahamu hilo. Kama tunaipenda nchi yetu kweli kweli basi tuungane kupinga wizi wa kura...tusifukie fukie tu mashimo bila kutoa mabomu yaliyoko ndani yake...baadaye yatatulipukia wenyewe!!!!!!!!!!!!!!
 
AKASHUBE

Hadithi ya Doubting Thomas nina imani unaijuwa.

Sasa katika Riwaya hiyo, Tomaso aliendelea kukataa kwamba aliyesulubiwa amefufuka. Akazidi kukataa ndio mwenyewe hata baada ya kumuona na akaendelea hata baada ya kuona majeraha ya misumari. Mimi nimejifunza kuwa kuna akina Tomaso wengi katika mazingira tofauti, ikiwemo hili la kura.

Ni nini matokeo ya KURA?

1. CCM imepoteza viti vingi kwa wapinzani; Ishara ya mambo mawili:-

(i) Upinzani unaimarika na kukua
(ii) CCM imepuza umaarufu.

2. Kwenye kura za URAIS , CCM imepoteza takriban 20%, ikimaanisha kuwa Wananchi wametuma MESSAGE kuwa expectations zao hazijawa attained.

3. OVERALL Results ni kwamba CCM imeshinda uchaguzi wa Rais na imebata viti vingi Bungeni. Observers wamesema hivyo na Taasisi za uchaguzi pia.

Sisemi hapakuwa na Tatizo hata moja; na the best way ni ku pursue through mahakama.

Na la muhimu zaidi, ni kwamba RAIS AKISHATANGAZWA, huwa RAIS MPAKA MANDATE YAKEITAKAPOMALIZA

Samwel Sita nadhani anakusoma vizuri.....wake up Makame CCM ina wenyewe, wewe haumo!!!!!!!!!!!!!!!
 
AKASHUBE,

kwangu mimi ulisha PROVE KUWA UELEWA WAKO WA MAMBO NI HABA AU DUNI KABISA. Sasa naona unakazana kuwathibitishia wana JF hilo.

Nafahamu fika kuwa Darasani ulienda kukariri, basi walau STATISTICAL PROCEDURES? You make Inferences using a REPRESENTATIVE SAMPLE. :tape:

Wewe Makame usituletee hapa, who told you of the representative sample existence? You should have known the so called representative sample is reductionist. Continue fooling your fellows people who are smelling corruption, Peleka huko your awkward arguements. Many good Tanzanians and decent people from other Nations globaly know exactly CCM have rigged presidential and parliamentary eletions. Does your selfish and narrow thinking represent the whole world? Come on, think loudly, there is never a representative sample.
 
ATIGI

What Are Inferential Statistics?

inferential statistics

Student's Guide to Inferential Statistics

Inferential Statistics

http://www.cindy.sifonis.com/Classes/Exp250/ExpOut/Inferential.pdf

Hizo LINKS CHACHE zinaweza kukusaidia kuelewa kidogo [na inawezekana usinufaike nazo kwa vile kuna usemi usemao 'you can force a donkey to the river, but you cannot force it to drink some water'] about Inferential Statistics.

maandishi yako yamebainisha dhahiri kabisa ni nani mwenye NARROW THINKING. Tena I do not have to say ni nani; kwani kila atakaesoma hapa atamjua.

Maybe this posting will help to make a free contribution to your interelectual capital

Back
Top Bottom