Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,869
- 3,848
Hayajakukuta bado...
Wewe endelea kupika sisi tutakupambania hiyo mikono isivunjwe ushindwe kukatakata vitunguu.Kujitafutia ulemavu wa kudumu kisa kuwapambania watu wakakalie kiti hapana
Mmeambiwa mkaandamane, not to be a keybord warrior.Kwani wanapigania madaraka? Mbona unakwepa kinacholalamikiwa?
Kwa hiyo unataka tutulie kidogo ili Mchengerwa na Abdul waendelee kula keki ya taifa bila bugudha ya sie makapuku?Mzuka Wana Jamvi ?
Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.
Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.
VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?
Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?
Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Wewe yamekukuta?Hayajakukuta bado...
Unataka kufaham au unataka kujua?Wewe yamekukuta?
Ahsante sana kwa ujumbe mzuri.Mzuka Wana Jamvi ?

Aliyoyaongea Gwajima! alikuwa amejificha kwenye keyboy?Mzuka Wana Jamvi ?

Pamoja sana Chief , Jazaakallahu khayranAhsante sana kwa ujumbe mzuri.
Mtu kama wewe muda muda wote unawaza Simba na Yanga ndio unaweza kukinukisha kweli ?Hebu tuondolee upumbavu wako hapa.
Wewe unafanya nini humu?Toka front mkuu , mtu unajitutumua kwenye Keyboard kukinukisha haujawi hata kusikilia mlio wa Bomu ukisikia baruti tu mavi debe ndio unajikuta mwamba ?
Uzi wetu wa kula tunda kimasihara umepunguzwa kule.
Mkiletewa connections tunaambiwa maadili yanaharibika.
Wamefunga porno sites zote mpaka VPN wakati zamani ulikuwa tu ukienda Google xxxx chaap.
Mambo hayo unayoita ya Kijinga,Umbea..udaku yaachwe free na bando liwekwe free hakuna mtu atakuwa na time na mambo magumu magumu kamwe.Watatawala mpaka kiama.
Waache kukaza mafuvu,unachajisha miamala,Vocha,benki kwenye pesa zetu halafu matumizi yasihojiwe ni kama walijichangishwa wao wachache.Upuuzi huo.
Mzuka Wana Jamvi ?
Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.
Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.
VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?
Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?
Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Acha faraja za kijinga,tatizo ni linga walizojiqekea ili siku ukiwasumbua kwa kunyoroshe bila kuhojiwa na yeyote.Mzuka Wana Jamvi ?

Nimecheka sanaWewe endelea kupika sisi tutakupambania hiyo mikono isivunjwe ushindwe kukatakata vitunguu.
Huo sasa ndio uchawiJamaa wana roho mbaya sana mpaka kwenye mambo ya kipuuzi pia wanatubania
وأنت كذلكPamoja sana Chief , Jazaakallahu khayran
Aamiynوأنت كذلك