Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

Kwa waombaji
Vaa silaha,efeso 6:10-25

Hatafutwi Gwajima hapa ,
Ombaa
Malaki 4:2-3, matendo ya mitume 12, 2mambo ya nyakati 32:7-21

Note, usiombe maombi ya rehema
Wale wa rohoni mmenielewa
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
VITA VYA KIDINI.
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Nani kasema we jichetue tu
 
Kitu nilichogundua kwa watanzania wengi ni kujaribu kutatua tatizo bila kuangalia msingi wake.

Tanzania bado nchi changa. Tumetoka kuishi maporini kwa vikundi vya kikabila not more than 60 years ago. Bado tupo separated na ile hatua ya umoja kama taifa zima bado. In a few generations, perhaps 2, kuanzia 2000 ndio wataanza hiyo hatua.

Ukiangalia advanced countries zenye maendeleo makubwa na sauti moja nyingi utakuta ni culture moja, wanashare kila kitu. Mfano Japan au Korea, even USA. So, it's a matter of time.
 
Wakatoliki wameongea sana, wakawaogopa kwa sababu wao hawafutiki manake ukifuta katoliki uanze na kufukuza ubalozi wa vatican na mabalozi wote wa ulaya na amerika. wakaamua tu kumpiga kitima.

gwajima kwa sababu mnyonge, wameamua kufuta kanisa, tufanye gwajima ana kosa, waumini wake wana kosa gani sasa? halafu huyo mtu msafi kuweza kuamua fulani asali wapi na wapi ni nani hapa nchini? ni hawahawa wanaoshinda kwa waganga wa kienyeji?

gwajima alikemea wanaoteka, mwamposa kanyamaza ila anakula tu sadaka, lakini gwajima ndio ameonekana mchochezi. Watanzania tujihadhari na machafuko ya dini, sisi wakristo hata kama hii ni attack dhidi ya ukristo moja kwa moja, tukumbuke vita vyeti si vya damu na nyama, yaani sisi hatuchukui mapanga na mikuki, ila TUNAPIGA MAGOTI NA KUMWOMBA MUNGU AINGILIE KATI.

NISEME UKWELI TOKA MOYONI, sijawahi kuomba maombi magumu na mabaya hata kipindi cha Jiwe wakati Lisu alipopigwa risasi. ILA KIPINDI HIKI NASUKUMWA MOYONI KUOMBA MAOMBI MABAYA ILI MUNGU ASHUKE MWENYEWE AAMUE HII KESI YA AWATU KUTEKWA NA KUPOTEZWA NA WANAOONGEA KUHUSU HILO WANASHUGHULIKIWA. Omba Mungu uhukumiwe na wanadamu, adhabu ya wanadamu unaweza kustahimili, ila adhabu ya Mungu hautastahimili, yeye ndiye HAKIMU WA MAHAKIMU, JAJI WA MAJAJI. Mungu ibariki Tanzania.
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Kutesa kwa zamu.......mzuka sana mkubwa wangu. Na mimi nimeshawashauri watz waachane na siasa
 
Kitu nilichogundua kwa watanzania wengi ni kujaribu kutatua tatizo bila kuangalia msingi wake.

Tanzania bado nchi changa. Tumetoka kuishi maporini kwa vikundi vya kikabila not more than 60 years ago. Bado tupo separated na ile hatua ya umoja kama taifa zima bado. In a few generations, perhaps 2, kuanzia 2000 ndio wataanza hiyo hatua.

Ukiangalia advanced countries zenye maendeleo makubwa na sauti moja nyingi utakuta ni culture moja, wanashare kila kitu. Mfano Japan au Korea, even USA. So, it's a matter of time.
Hapo USA itoe kabisa haiendani na ulichoandika
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Hebu tuondolee upumbavu wako hapa.
 
Safi sana umewashauri vizur, sema wanaongozwa na hisia watakuona hufai.
Binafs mim siwez pambania ugari wa mwenzangu akale na ndgu zakd, wakati ugari wangu naupata kwa mbinde.

Ata wapinzan wakishka madaraka niyaleyale napo mtalalamika tu.
 
Kwani wanapigania madaraka? Mbona unakwepa kinacholalamikiwa?
 
Kuna waliompambania Raila wakapoteza viungo na wengine wakafa, Leo kawaacha karudi kwa Ruto!
Usiingie kwenye siasa kama nyumbu
 
Back
Top Bottom