Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

Toka front mkuu ukiongozana na familia yako uelekeo ni Kuchoma vituo vya polisi kuonyesha kupinga matukio ya utekaji .

Kutekwa ni kujitakia kuwa kimbembele katika kuchochea chuki dhidi ya serikali , mbona wengi hawajatekwa wainshi.

Nenda Somalia , Sudan Kusini , Sudan walipoamua Amani ipotee je imeleta manufaa yapi ?

Kimfano kila kiongozi anajekuja hali zilezile mtaanzisha machafuko mara ngapi ?

Umemaliza kudeki barabara ughaibuni unakoishi sasa unatupangia tuishije tulioko Tanzania?

Bro,Hebu waheshimu mabosi zako huko uliko,huku ni kunoma sanaa.
 
Ni ukisefu wa akili kusema Kama serikali inateka watu mbona Bibi yako hajatekwa? Huu ni upunguani.
Kwahiyo tusubiri Tanzania nzima tutekwe ndo tuseme serikali inateka watu?
Inasikitisha sana ndugu, inatia aibu.Kundi la vijana Wapenda, Pombe,Pesa na Nyama za bure litaenda kuangamiza Tz
 
Kwa mfano ushujaa wa Mdude kumfokea na kumpa maagizo Rais angeutumia kuingia pori kushika zeze ungekua wa maana sana.
Sasa shujaa mdomo umempeleka na bado hakuna kilicho badilika.
Kweli kabisa , alishindwa kujua na anaoshindana nao na kufikiria vyema sasa amejidhuru mwenyewe na Familia yake .

Bora nile ugali dagaa nitulie kuliko kujikuta mwamba kusiko na Faida
 
Toka front mkuu ukiongozana na familia yako uelekeo ni Kuchoma vituo vya polisi kuonyesha kupinga matukio ya utekaji .

Kutekwa ni kujitakia kuwa kimbembele katika kuchochea chuki dhidi ya serikali , mbona wengi hawajatekwa wainshi.

Nenda Somalia , Sudan Kusini , Sudan walipoamua Amani ipotee je imeleta manufaa yapi ?

Kimfano kila kiongozi anajekuja hali zilezile mtaanzisha machafuko mara ngapi ?
Hatuna kiongozi tunao watawala.

Sisi tuna tofauti gani na Sudani, ikiwa ccm na majeshi yana teka yana poteza wananchi ?

Kwako wengi ni wangapi au ulitaka nani atekwe na kupotezwa ndio uone siyo sawa?

Huko unakokuita front nchi hii ni wapi nije?

Unadhani machafuko yakitokea watakufa wananchi? Tunataka yafe ma ccm na vizazi vyao tu hayo nfiyo mauaji kwenye nchi hii.

Na ninakuhakikishia ma ccm na vizazi vyao yakifa nchi itatulia.
 
Hatuna kiongozi tunso watawala. Sisi tuna tofauti gani na Sudani, ikiwa ccm na majeshi yana teka yana poteza wananchi ?

Kwa nini wewe huajatekwa ?
 
Uzi wetu wa kula tunda kimasihara umepunguzwa kule.

Mkiletewa connections tunaambiwa maadili yanaharibika.

Wamefunga porno sites zote mpaka VPN wakati zamani ulikuwa tu ukienda Google xxxx chaap.

Mambo hayo unayoita ya Kijinga,Umbea..udaku yaachwe free na bando liwekwe free hakuna mtu atakuwa na time na mambo magumu magumu kamwe.Watatawala mpaka kiama.

Waache kukaza mafuvu,unachajisha miamala,Vocha,benki kwenye pesa zetu halafu matumizi yasihojiwe ni kama walijichangishwa wao wachache.Upuuzi huo.
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Nani kafanya FUJO?? Pale ufufuo na uzima nani angefanya FUJO kama sio KEBEHI MATUSI VURUGU DHIHAKA MAJIGAMBO ya nyinyi CHAWA WA SAMIA

Mbona mkisifiwa na kupigiwa Dua nzurii huwaga hamsemi kachanganya siasa na dini IKITOKEA mtu akiwakosoa mnaacha hoja na kumvaa ki ndeziii na safari hii me ya vagaa mtanuka kinyesi woteeee
 
Machafuko
Hatuna kiongozi tunso watawala. Sisi tuna tofauti gani na Sudani, ikiwa ccm na majeshi yana teka yana poteza wananchi ?

Kwako wengi ni wangapi au ulitaka nani atekwe na kupotezwa ndio uone siyo sawa?

Huko unakokuita front nchi hii ni wapi nije?

Unadhani machafuko yakitokea watakufa wananchi? Tunataka yafe ma ccm na vizazi vyao tu hayo nfiyo mauaji kwenye nchi hii.

Na ninakuhakikishia ma ccm na vizazi vyao yakifa nchi itatulia.
yakitokea tawala watapoteza zaidi ndio maana hawataki kabisa yatokee wanatumia nguvu kubwa sana
 
Kwasababu wao ndio majizi ya rasilimali za umma , wezi hawatoki nje ni wao.

Ndio maana wanatumia nguvu kuendelea kutuibia.
HEbu waza viwanja, majumba waliojimilikisha kinyume na utaratibu vyote waseme virudi kwa wananchi
 
Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom