Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

Ghayo El Yehudi

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
901
Reaction score
1,866
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
 
Acha ujinga. Machafuko yanaletwa na kusababishwa na serikali yenyewe.
 
Ni ukisefu wa akili kusema Kama serikali inateka watu mbona Bibi yako hajatekwa? Huu ni upunguani.
Kwahiyo tusubiri Tanzania nzima tutekwe ndo tuseme serikali inateka watu?
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Na kwa kuongezea bora tutumie keyboard kwa mambo ya.........

Utamalizia mwenyewe
 
Nanukuu: kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?
 
Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.
Bwege sana mawazo ya kipumbavu kama haya.
Watu wanyamaze wakinyimwa HAKI, ili serikali isiwateke?

WaTanzania wamekwisha tambua mnachokipigania watu wa aina yako. Kamwe hamtafanikiwa.

Uzuri ni kwamba sasa mnajitokeza mmoja baada ya mwingine. Pamoja na kwamba mnatumia majina bandia, lakini kujipambanua kwenu katika kupigania ajenda yenu kunatoa fursa ya kujuwa aina ya watu tunaotakiwa kupambana nao kuzuia uovu huu mlioulta nchini.
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Hapa keyboard warriors hawachangii!
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Mzuka Wana Jamvi ?

Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu.

Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako Kijijini ? Kaa tulia fanya yako usitake kushindana na Dola mtaumia na hasara utapata wewe na watu wako wa karibu.

VIongozi ni product ya Jamii ukiona sehemu Kuna uongozi mbaya basi Jamii ndio imeoza zaidi , wengine kinachowarudisha nyuma hawajapewa madaraka tu ila wakioata fursa na ufisadi na dhuluma tu , kama tunataka kutoboa reforms zianze kufanyika kwenye ngazi ya Familia na Jamii una Kuta mtu kuendesha Familia yake tu ya watu watano inamshinda halafu anataka reform ya ghafla kwa Fujo inchi nzima kweli ?

Wabongo wengi akili zetu zinaweza upuuzi kutwa umbea , udaku , anasa , Simba na Yanga nk halafu kwa aina ya watu hawa ndio unategemea mabadiliko, how is development to be brought brother when...................?

Narudi kwa Keyboard Warrior kama unaona hakuna haki bora tukiwashe acha kulalamika mitandaoni na kujitutumua kama shujaa nyuma ya Keyboard vaa Combat kusanya Familia mukakinukishe au toka wewe kama kweli ni mwamba 🪖, maana kulalamika nyuma ya Keyboard hata mtoto mdogo anaweza , hata Mama lishe anaweza pamoja na Mama wa nyumbani ila mwamba unakuwa hauna maneno mengi ni actions tu , maana siku zote kulalamika hakusaidii kitu.
Ni watu wenye akili finyu kama ya kwako pekee ndiyo watakuelewa na kukusikiliza.
 
CCM wajinga sana bora amani ipotee mfe na vizazi vyenu vyote tuanze upya.
Toka front mkuu ukiongozana na familia yako uelekeo ni Kuchoma vituo vya polisi kuonyesha kupinga matukio ya utekaji .

Kutekwa ni kujitakia kuwa kimbembele katika kuchochea chuki dhidi ya serikali , mbona wengi hawajatekwa wainshi.

Nenda Somalia , Sudan Kusini , Sudan walipoamua Amani ipotee je imeleta manufaa yapi ?

Kimfano kila kiongozi anajekuja hali zilezile mtaanzisha machafuko mara ngapi ?
 
Back
Top Bottom