wingi wa vyuo siyo suluhisho bali tunataka vyuo bora zaidi.wakati mwingine vyuo vingi ni subjective kwa maana vingi kwa idadi gani.
Na nyinyi mnaojiita wahenga kama wewe ndio mnaotupeleka sisi tuliozaliwa juzi mahali msipo pajua, badala yake mnaangalia vyeti badala ya ufanisi. Acheni tuwaletee ma vyeti kama mlivyotaka maana nyinyi wahenga matunda yenu ndio sisi mliotuandaa. Utavuna ulichopanda.kwani nani kakuambia certificates na diploma siyo vigezo?shida nyinyi mliozaliwa juzi hamjui tulikotoka.ulizeni wahenga kama sisi tuwaambie wapi tulikotoka.msidandie treni katikati.enzi zetu kulikuwa na kitu kinaitwa qualiffying test kwa form four ambao walikuwa makazini walichukuliwa na kujiunga na universities.baada ya kuiharibu elimu ndo mmekaririshwa mpaka upitie fomu six ndo uende vyuo vikuu siyo kweli fuata hayo mawazo.tunachoangalia ni quality na si quantity.
Chuo kizuri ni kile kinachotengeneza watu wa kutengeneza kazi (job creators), na sio kile kinachotengeneza watafuta kazi (job seekers).
Chenye 'job creators' wengi, hicho ndio chuo kizuri
Mambo ya ajabu sana haya 🙄 😂🙄🙄Mzumbe inazidiwa na Tumaini na Saut?
Vipo vichache sana, vilivyobaki vinazalisha 'job seekers'Hakuna chuo cha aina hiyo duniani.
Mkuu hao #4 na #5 toa sababu za kutosha,kwa nini wabaki,halafu kwa nini Mzumbe,IFM,MUCO,Ardhi hawapo,hivi unavijua kweli hivyo vyuo kweli?Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.
Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.
1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.
2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.
3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.
4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.
5. Tumain University ya Iringa tu.
Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.
Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
Pamoja na kwamba mtoa mada ameandika Vyuo VitanoNashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.
Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.
1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.
2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.
3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.
4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.
5. Tumain University ya Iringa tu.
Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.
Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
VETA ndio msingi mkubwa fani halisi na ndio tayari washakipiga pini kwa D4.Chuo kizuri ni kile kinachotengeneza watu wa kutengeneza kazi (job creators), na sio kile kinachotengeneza watafuta kazi (job seekers).
Chenye 'job creators' wengi, hicho ndio chuo kizuri
Mzumbe walikiwaga wanatoa degree fake,credibility yake ilipunguaMzumbe inazidiwa na Tumaini na Saut?
Muhimbili ilikuwa Tawi la UDSM Siku hizo sijui wameiweka vipi,IFM ,IAA,CBE & TIA hizo ni taasisi za elimu na zingine ni collage sio Universities.Mzumbe
Muhimbili..
IFM, IAA, CBE, TIA wahasibu, Bankers, Afisa Ugavi asilimia kubwa ni product za hivi vyuo.
Ardhi ina Ma Injia wake huku mtaani.
Mtoa mada sijui umewaza nini? Au pengine useme kila mtoa uwe na vyuo at least vinne/ 5
Wala, tena angesema hata tufute vyuo vyote naona sawa tu. Maana hata hao anaotaka wabaki naona kawapendelea. Vyuo vyetu kwa sasa vinazalisha bidhaa duni sana. Hii ndiyo hoja ya msingi.Sema unataka wenye degree mbaki wachache wala sio hayo uliyoyasema