KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,058
- 4,952
*incompetence products
Incompetent products
Umesoma chuo gani?
Incompetent products
Umesoma chuo gani?
Itakuwa stela marris*incompetence products
Incompetent products
Umesoma chuo gani?
Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.
Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.
1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.
2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.
3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.
4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.
5. Tumain University ya Iringa tu.
Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.
Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
ni hoja/mada ya kipuuzi kutoka kwa mtu mwenye maono mafupi aliyevimbiwa.Hii mada kama inaukweli flani hivi!? Nyie mnaonaje jamani.
Ati "incompetence products".
Mbona mwenyewe unaonesha ni kiazi tu.
BTW:Unarudia enzi za akina Mpigamsuli,Pery na ADILI SAMALU.
Na wewe ukikua utaacha tu.
Tuanze nae akamatwe😂😂*incompetence products
Incompetent products
Umesoma chuo gani?
Kumekucha, nyie mnaojiona competence, mbona ndo mnaongoza kukwapua pesa za uma,Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.
Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.
1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.
2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.
3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.
4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.
5. Tumain University ya Iringa tu.
Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.
Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
Sasa vyuo vyenyewe vingi hudahili na kufundisha issue za Mkwawa alikufa lini, Kirai ni nini, - hatuwezi kufikaAna hoja ya msingi sana
Veta haina ishu siku hizi. Tz tulifeli kutoa mfumo gredi na kuweka levo wakati hatuna viwanda, na tukaiingiza ktk jeneza pale tuliposema huwezi kupata diploma kutokea veta hadi uwe na D,D,D,D (4) Kutoka secondary, tulichobakiza ni kuizika tu, majengo tufugie kuku kama MR/Mpoto alivyoshauri.Tunahitaji Veta nyingi sana na waalimu wa veta wengi na siyo vyuo vikuu vingi!
Ndo hapo wakati ni chuo mmojawapo Bora kabisaChuo kikuu cha Ardhi hukitaki pia?
kwa akili yako unaona hivyo lkn ni uhuru wako wa kutoa maoni.kutoa matusi ni wazi umeshindwa kujenga hoja.jenga hoja twende kwa hoja na mifano.Ati "incompetence products".
Mbona mwenyewe unaonesha ni kiazi tu.
BTW:Unarudia enzi za akina Mpigamsuli,Pery na ADILI SAMALU.
Na wewe ukikua utaacha tu.
wingi wa vyuo siyo suluhisho bali tunataka vyuo bora zaidi.wakati mwingine vyuo vingi ni subjective kwa maana vingi kwa idadi gani.Tunahitaji vyuo vingi zaidi
Sasa hizo certificate na diploma zilikuwa zinatolewa na vyuo vikuu? acha uboya wa kukurupuka ku comment bila kuelewa jambo....kwani nani kakuambia certificates na diploma siyo vigezo?shida nyinyi mliozaliwa juzi hamjui tulikotoka.ulizeni wahenga kama sisi tuwaambie wapi tulikotoka.msidandie treni katikati.enzi zetu kulikuwa na kitu kinaitwa qualiffying test kwa form four ambao walikuwa makazini walichukuliwa na kujiunga na universities.baada ya kuiharibu elimu ndo mmekaririshwa mpaka upitie fomu six ndo uende vyuo vikuu siyo kweli fuata hayo mawazo.tunachoangalia ni quality na si quantity.
Kwa rate ya udahili ikifikia 2025 A level watafauli zaidi ya 200,000 ambao wakigawiwa kwenye vyuo,vyuo kama UDOM,UDSM itachukua Asilimia 40 tu, hao wengine itabidi serikali ijipanue zaidTunahitaji vyuo vingi zaidi