Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,061
- 124,552
Eeh ndio...mkiwa wengi sana wala hakuna raha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa hivi kila familia ina graduate [emoji16][emoji16] iko wapi heshima ya degreeSema unataka wenye degree mbaki wachache wala sio hayo uliyoyasema