Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero
Ukiyageuza haya maneno kwenda kiingereza halafu ukafanya search mtandaoni.....Utajua maana ya Uzi huu.

Haya ni matusi. Hakuna hoja hapo
 
Hii mada kama inaukweli flani hivi!? Nyie mnaonaje jamani.
 
Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.

Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.

1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.

2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.

3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.

4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.

5. Tumain University ya Iringa tu.

Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.

Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
Udsm imezalisha mafisadi wengi na ndo wanaoleta matatizo ktk nchi hii napendekeza kifutwe.ktk orodha hiyo naongeza MoCU ni chuo safi kabisa kimezalisha wazalendo wengi ambao wako smart.
 
Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.

Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.

1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.

2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.

3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.

4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.

5. Tumain University ya Iringa tu.

Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.

Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata

Kwahiyo unasemaje?
 
Mzumbe
Muhimbili..
IFM, IAA, CBE, TIA wahasibu, Bankers, Afisa Ugavi asilimia kubwa ni product za hivi vyuo.
Ardhi ina Ma Injia wake huku mtaani.

Mtoa mada sijui umewaza nini? Au pengine useme kila mtoa uwe na vyuo at least vinne/ 5
DIT
 
Moshi Co-operative University ni university pekee kubwa na inayoeleweka Africa nzima!

Sasa usijisahaulishe- Masomo na Ushirika ni muhimu ndo maana uko kwenye vikundi na jamaa wenzio mnaweka na kukopeshana pesa!
 
Muhimbili kifutwe Nani atawatibu?ifm ifutwe Nani atawatunzia fedha zenu
Mleta uzi ana shida kichwani na tatizo limeanza baada ya kutoitaja Muhas, hata hivyo ameongea kihisia usikute hajawahi hata kwenda au kupata ushuda vyuo alivyovitaja vibaki na kuona hali halisi.

Elimu ya bongo kwa ujumla unahitaji msasa mkubwa sisi tuko nyuma tu kielimu maana vitendea kazi duni na mitaala ya kukariri zaidi tokea primary.
 
Mwandishi bado alidhani Muhimbili, Ardhi bado ni matawi ya UDSM. Vilevile watu hawajaelewa maana ya vyuo vikuu kwa maana ya University. IFM, TIA, IAA, CBE na vingine vinavyofanana na hivyo are not Universities. So havina nafasi ya kulinganishwa na maoni ya mtoa uzi.
Kwa muono wangu; kuna reality ya anachofikiri mtoa mada, tuliopo kwenye ajira na tunaoajiri tunayajua haya.
 
Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.

Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.

1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.

2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.

3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.

4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.

5. Tumain University ya Iringa tu.

Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.

Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
Hili andiko lako tu linaonyesha wewe ni mtu wa aina gani kazini! Nakushauri kalime shamba lako, jipe ushauri mwenyewe,
namna ya kutumia mbolea, vuna mwenyewe, uza mwenyewe na pesa tumia mwenyewe. Huwezi kufanya kazi na wenzako. Umeleta hoja isiyo ya kisomi kabisa kabisa. 🙏🙏🙏😀😀😀
 
Mzumbe
Muhimbili..
IFM, IAA, CBE, TIA wahasibu, Bankers, Afisa Ugavi asilimia kubwa ni product za hivi vyuo.
Ardhi ina Ma Injia wake huku mtaani.

Mtoa mada sijui umewaza nini? Au pengine useme kila mtoa uwe na vyuo at least vinne/ 5
Hayo yalikuwa matawi ya UDSM. Yaendelee
 
Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.

Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.

1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.

2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.

3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.

4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.

5. Tumain University ya Iringa tu.

Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.

Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
Ujinga
 
1. UDSM na matawi yake
2. SUA
3. Mzumbe
4. Ardhi
5. MUHAS
6. St Augustine/CUHAS
6. IFM
7. KCMC
8. UDOM kwa uangalizi
 
Hata hivyo vitano ulivyotaja mtoa mada vimeanza kufyatua product mbovu baada ya kuingiza siasa kwenye utendaji ndani ya vyuo.

Wanaongeza tu udahili wa wanafunzi pasipo kuboresha mazingira ya ufundishaji na kuongeza idadi ya wahadhiri wabobevu.

Halafu vyuo vikuu hivyo vimeanza na kudahili wanafunzi wa certificate na diploma ili kuongeza mapato. Kwa hiyo kwa sasa utaona vyuo vikuu vimejikita kukusanya mapato badala ya kutoa taaluma ya uhakika.
 
Back
Top Bottom