Ushauri: Viongozi na Mawaziri wazalendo waongezewe ulinzi!

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
976
Kwa hali ilivyo napendekeza Mhe. Kigwangala (Mzalendo) aongezewe ulinzi.
Nilikuwa naangalia video ya alichokiongea kuhusu kumsimamisha Mkurugenzi na mikakati ya kuiweka wizara salama, nimehisi vita hii ni kubwa inayohitaji ulinzi imara kwani inashabihiana na vita ya madwa ya kulevya.
Ikibidi apewe hata kwa muda wakati hii fagiafagia inapita...
Viongozi wengine wenye misimamo km hii wapewe ulinzi wa kutosha.
 
Waziri Mzalendo ni aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Sokoine na Mrema kuna mwingine ??

Nani ??? Uzalendo wake umeupimaje???

Hizi kiki jamoni tuoneeni huruma tumeshaelimika
 
Kwa hali ilivyo napendekeza Mhe. Kigwangala (Mzalendo) aongezewe ulinzi.
Nilikuwa naangalia video ya alichokiongea kuhusu kumsimamisha Mkurugenzi na mikakati ya kuiweka wizara salama, nimehisi vita hii ni kubwa inayohitaji ulinzi imara kwani inashabihiana na vita ya madwa ya kulevya.
Ikibidi apewe hata kwa muda wakati hii fagiafagia inapita...
Viongozi wengine wenye misimamo km hii wapewe ulinzi wa kutosha.
Hata mwalimu darasani kwa nchi ilivyoharbika akisimamia kazi yake vizuri atahitaji ulinzi mkali. Nchi ya watu wa ajabu hii...ati
 
Back
Top Bottom