Ushauri Usioombwa: Andrew Chenge Muajiri Lissu Mapema

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,250
Reaction score
44,579
Kama ningeombwa nitoe ushauri kwa aliyewahi kuwa Mwanaseria Mkuu wa Tanzania Bw. Andrew Chenge ningemwambi atafute mwanasheria ambaye anaweza kumtetea "vigorously". Na wazo la haraka haraka ni kuwa amtafute mbunge mwenzie Tundu Lissu ili itakapofika zamu yake kuitwa na kupigishwa magoti awe na mtu ambaye anaweza kumtetea kwa uwezo na upeo wake wote.

Bad boy, bad boy. They are coming after you Chenge, what u gonna do?

Au wewe ungemshauri vipi Chenge?
 
Vipi Lowasa, yeye wanamshika lini? Huyu ndo nsubiri apigishwe magoti na kupewa ndoo!
 
Mimi ningemshauri aende akapige kambi Gamboshi kwa kama wiki tatu hivi.

Uzuri ni kwamba sehemu yenyewe haipo mbali na jimbo aliwakilishalo!
Unaikumbuka hii thread yako;

LINK>>Gamboshi: Makao Makuu ya Wachawi Kanda ya Ziwa

DSC_0029.JPG

DSC_0007.JPG

DSC_0101.JPG
 
Kama ningeombwa nitoe ushauri kwa aliyewahi kuwa Mwanaseria Mkuu wa Tanzania Bw. Andrew Chenge ningemwambi atafute mwanasheria ambaye anaweza kumtetea "vigorously". Na wazo la haraka haraka ni kuwa amtafute mbunge mwenzie Tundu Lissu ili itakapofika zamu yake kuitwa na kupigishwa magoti awe na mtu ambaye anaweza kumtetea kwa uwezo na upeo wake wote.

Bad boy, bad boy. They are coming after you Chenge, what u gonna do?

Au wewe ungemshauri vipi Chenge?
Ana SILAHA zifuatazo:

1. Pesa

2. Network

3. Uchawi

4. Sheria ( UDSM, HAVARD )

- Yaani hapo kumdaka labda utumike UDIKTETA.
 
Kama ningeombwa nitoe ushauri kwa aliyewahi kuwa Mwanaseria Mkuu wa Tanzania Bw. Andrew Chenge ningemwambi atafute mwanasheria ambaye anaweza kumtetea "vigorously". Na wazo la haraka haraka ni kuwa amtafute mbunge mwenzie Tundu Lissu ili itakapofika zamu yake kuitwa na kupigishwa magoti awe na mtu ambaye anaweza kumtetea kwa uwezo na upeo wake wote.

Bad boy, bad boy. They are coming after you Chenge, what u gonna do?

Au wewe ungemshauri vipi Chenge?

Ukiliendeleza sana tumbo, mwishowe unaonekana mjinga. Chenge ni Fisadi na ekienda Jela lazima aende na Mkapa. No Mkapa no case kwa chenge, usijisumbue mwanavillage na Sinema za Dikitekta uchwara
 
Back
Top Bottom