Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 682
- 863
Mkuu change kasoma Harvard alafu anatokea shinyanga na jimbo lake ndipo ilipo gamboshi nasikia jamaa noma sasa utamfunga vipi elimu dunia anayo na maujanja mengine anayo ya kuzidi
Cha msingi ni wanasheria kudili tu na Hawa mengine ila Mkuu chenge hawamuwezi inabidi uumshinde pote yani mahakamani na kule pengine
Tukamate tu wengine Mkuu Huyu ni mtemi tutapoteza garama tu