Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Haiwezi tokea vita buana hehehheh waarabu wapemba wanajuana kwa viremba ati.....
Hapo sawa! Ngoja watu watoe ushauri kwanza tusiharibu uzi wa watu
 
Rafikiiiiii.

Mimi na wewe sawa sawa. Me mpambe tu
Mwanzo nilijua ni wewe umetumia mwamvuli wa rafiki ila baada ya kusoma bandiko lote nikagundua sio labda uwe umeamua kutwist baadhi ya facts kwa makusudi utupoteze maboya[emoji3][emoji3]
 
Mwanzo nilijua ni wewe umetumia mwamvuli wa rafiki ila baada ya kusoma bandiko lote nikagundua sio labda uwe umeamua kutwist baadhi ya facts kwa makusudi utupoteze maboya[emoji3][emoji3]
Unakwama sana rafikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi yule shost yako alokuwa hataki kusafiri na wewe mliishia wapi? Maana siku hizi hutupi updates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…