Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Waungwana,
Ninae rafiki yangu ambae anajua mimi napenda sana kusafiri as my hobby. Like a week or so, alinipigia simu kuniomba nipendekeze kwake nchi gani atembelee atakapopata likizo yake ifikapo November mwaka huu. Kwa kweli nashindwa kumshauri kutokana na vigezo vyake hivyo nikaona sio mbaya nikaja nikaomba ushauri humu on his behalf.
Budget yake ni USD 2,500 kwa yeye na mke wake na mtoto wao wa mwaka mmoja.
Alikuwa anataka kwenda Egypt lakini hali ya usalama ya Egypt imemfanya ai-cancel hiyo trip, South Africa ameshawahi kwenda so it's not an option, Morroco could be but it's super expensive. Dubai there is nothing to see ukiacha majengo tu, Oman it's not ideal. South east Asia may be but he is not sure.
Moja ya important factor to consider ni distance because mke wake hataki kupanda flight itakayochkua zaidi ya masaa nane.
Turkey and Jordan were very good options kwake ila tatizo huko kutakuwa na baridi ikifika November na wao wana mtoto mdogo.
Wadau hebu nisaidieni na ambae yupo serious kumtengenezea hiyo itinerary anaweza hata kumpa hela ya soda.
Hizi vitu ni real time consuming na vinahitaji uwe na muda haswa. Vinachosha pia.
Karibuni kwa ushauri wandugu