Ushauri unahitajika hapa

Ushauri unahitajika hapa

Kuna Lijamaa moja Bonge hivi Simon lilikua linapigwa moto mle mitaani mpk mtaa wote unanuka Nnya.
Sijui km bado mzima yule.
Alikua na visenti kibosile kule NBC aisee kaolewa na muuza Bucha.
Siku tuliwatimbia Usiku tukakimbizana mpaka wakapoteana.
Hawakurudi tena mle ndani.
 
Story za mitandaoni za kutunga hizo! Waliowahi kukutana na hizo situations katika uhalisia wake hawako hivyo hata kidogo
Wengi walipata BP mpaka kulazwa ama stress mpaka kuchanganyikiwa nknk
 
Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,

Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona mumewe ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,

Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Nimeishia kwenye kununuliwa anaconda mpya.....mtoa mada ni mtu wa upinde hii story ni chai
 
Story za mitandaoni za kutunga hizo! Waliowahi kukutana na hizo situations katika uhalisia wake hawako hivyo hata kidogo
Wengi walipata BP mpaka kulazwa ama stress mpaka kuchanganyikiwa nknk
😂😂😂😂😂 wee gran pah em sema kweli??
 
Nimeishia kwenye kununuliwa anaconda mpya.....mtoa mada ni mtu wa upinde hii story ni chai
Sasa mtoa mada na story inahusu nini? Mie nimeikuta huko, nimeileta hapa.

Kwani mie ndo nimetunga hii story?? Wee umevurugwaaa?? 😂😂😂😂😂
 
Haya ma sms ni sawa na yale ya akina MANGE na Askofu Dickson Kabigimula . Wanatengeneza then wanajifanya wametumiwa.
Ni namna watu wanavyosaka tension mitandaoni.
Ni uongo.
Harrier sasa hivi inafika mpaka million 50 na zingine zinazidi hapo.
Mtu ambaye bwana wake anaweza kumnunulia gari ya million 50 on the spot atacheza upatu wa kazini?
Upatu ni kwa watu maskini na waliokosa akili.
 
😂😂😂😂😂 visa vya FB hukoo.
 
Ni busara kutumia neno Baadhi,maana Hilo neno unejumuisha as if wote tunafanywa...Hilo NI tusi la wazi umetutusi we mburukenge
Ukifatilia humu utagundua sijawahi kumtukana mtu kabisa kwahiyo tafadhari tafuta uliozoea kutukana nao Nb mimi sio mburukenge
 
Back
Top Bottom