HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 441
- 706
Stori Za Vijiwe Nongwa
Furahia tu lakini jua kuwa chizi anachekesha akwa hatoki kwenye familia yenu.😄😄😄 Coca atatesa sana watu humu ndani
Kuna muda nakata tamaa lakini kuna muda nasema huenda akabadilika tusimkatie tamaa bado kijana mdogo🙏Ila cantry, yaani nihamasishe ushoga kwa kipi? Hii mie nimeikuta huko FB nikaoma niilete hapa, watu watoe maoni.
Km unataka story kuhusu ndoa na migogoro ingia kwa page husika, chukua ilete humu watu watatoa maoni.
Mie nimeamua niilete hii. 😂😂😂😂😂😂
Lazima ashinde.... 🤣 na hizi mada za fbMleta mada yupo uwanja wake wa nyumban
Kwa hiyo wewe tabia zako ni kama zake ndo mana hucheki? Pole yakoFurahia tu lakini jua kuwa chizi anachekesha akwa hatoki kwenye familia yenu.
Kuna siku kwenye familia yako atatokea kijana kama coca, ndio utaelewa maumivu yalivyo
Nimeandika kiswahili naamini umeelewaKwa hiyo wewe tabia zako ni kama zake ndo mana hucheki? Pole yako
Una watetezi wengi, bado kuna yule marimposa, Kuna bichwa komwe n.k lakini wewe mwenyewe ukweli unaujuaMmeanza kutifuana wenyewee?? 😂😂😂😂😂
Mkuu, mkosaji yeyote huwa anasoma msamaha kwa sababu amedakwa/fumaniwa na sio kwa sababu anajutia kwa alichokifanyaWalikua wanaomba msamaha kwa walichokifanya au kwasababu wamedabwa?
We ni mburukenge kwenye hoja yako ya msingi ingekuwa busara kama ungetumia neno baadhi...Sasa wewe umejumuisha bimaana hadi mzazi wako wa kiume yumo ndani....Popoma weweUkifatilia humu utagundua sijawahi kumtukana mtu kabisa kwahiyo tafadhari tafuta uliozoea kutukana nao Nb mimi sio mburukenge
Sukari yako ipo juu sana sina uwezo wa kuishusha hiv una tatizo lolote na mm ?huna uhakika na uanaume wako ? Kwa nn usingechukukia positive naomba unikome we baba nenda Kafie mbele huko kha! umenikalia kooni utadhani nimekubonyeza makende narudia nikome hicho kisirani chako kama mwanamke mwenye mimba nikomee 📌We ni mburukenge kwenye hoja yako ya msingi ingekuwa busara kama ungetumia neno baadhi...Sasa wewe umejumuisha bimaana hadi mzazi wako wa kiume yumo ndani....Popoma wewe
We itakuwa msagaji pro max🤣Sukari yako ipo juu sana sina uwezo wa kuishusha hiv una tatizo lolote na mm ?huna uhakika na uanaume wako ? Kwa nn usingechukukia positive naomba unikome we baba nenda Kafie mbele huko kha! umenikalia kooni utadhani nimekubonyeza makende narudia nikome hicho kisirani chako kama mwanamke mwenye mimba nikomee
Favourite kwangu ni ub**********, nisagane ili iweje 🤣 😂 🤣 😂We itakuwa msagaji pro max🤣
Hili litoa mada ni li choko linaleta story za kuhamasisha uchokoIla wanaume mnaona tunafaidi sana 😢