Ushauri unahitajika hapa

Ushauri unahitajika hapa

Duuuh hiyo hatare hiyo ukimzoesha bwana ako hawezi acha Tena ndo tushampoteza kundini na shetani anaingilia kati anamnogesha zaidi mpaka afirwe laivu, mpaka ahakikishe amekuwa papai

Hiyo usimfanyie mwanaume hata sku moja utampoteza kundini ni inamkolea chap na haraka na hawezi acha kirahisi
Kwakweli sitojaribu kufanya huu upuuzi, na Mungu anisaidie🤦🏽‍♀️
 
Mpaka dk hii timu ya wanaume tupo pungufu, kuna kadi nyekundu kadhaa..
Ila acha wapungue ili neno la mungu litimie..
Lazima vidume tuwe wachache..
 
Attachments

  • 20251221_111233.jpg
    20251221_111233.jpg
    136.9 KB · Views: 7
Hiyo Harrier bado ipo tu imefunikwa ? Niiazime nikaringishie huku sitimbi kwetu ?

Hii ni fix tu kuchangamsha jukwaa... hakuna kitu kama hicho... Story za magazeti ya Sani na yale madalida "fema"
 
Ushauri kwa huyo dada kwa kua pesa bado anazitaka na anahofu kulea watoto peke yake basi avumilie yaan awe mpole ikiwezekana atulie tuliiiii kama maji ya mtungi
 
Hiyo Harrier bado ipo tu imefunikwa ? Niiazime nikaringishie huku sitimbi kwetu ?

Hii ni fix tu kuchangamsha jukwaa... hakuna kitu kama hicho... Story za magazeti ya Sani na yale madalida "fema"
Hii inaweza kua fix ndio ila kuna mtu namfahamu kabisa anasema mume wake hakojoi mapka amtie kidole matakoni huyo dada mpka amechoka na wana ndoa inayotambulika
 
Hii inaweza kua fix ndio ila kuna mtu namfahamu kabisa anasema mume wake hakojoi mapka amtie kidole matakoni huyo dada mpka amechoka na wana ndoa inayotambulika
Dunia kwisha, kwa hiyo mpaka jamaa apigwe busta ! Hii michezo ya ajabu inashamiri sana ...hasa haya mashule ya bweni, uchafu mwingi unaanzia huko
 
Hii maana yake ni makanisa 7 lolz sio wanawake as wanawake 😅
Aiyaaa... nimekula za uso.. basi mie nikajua walimbwende..
Ila no sweti kwa spidi hii ya hawa vijana wanavyorusha taulo..
Wanaume tutakuwa bidhaa adimu sana.
 
Dunia kwisha, kwa hiyo mpaka jamaa apigwe busta ! Hii michezo ya ajabu inashamiri sana ...hasa haya mashule ya bweni, uchafu mwingi unaanzia huko
Imagine aiseee alianza kugundua anapenda kuwekwa vidole mda ule wa kuaandana bibie akimnyonya naniiii mwanaume anajichanua kama uyoga halafu anamwambia bby we nifanye chochote huu mwili ni wako 😄
 
Imagine aiseee alianza kugundua anapenda kuwekwa vidole mda ule wa kuaandana bibie akimnyonya naniiii mwanaume anajichanua kama uyoga halafu anamwambia bby we nifanye chochote huu mwili ni wako 😄
mmh mbona amekupa code ya ndani sana? huyo bibie ni nani ako na wewe ni jinsia gani?
 
Hizi story za kutunga au za kuongeza chumvi,

Mtu akupe zawadi ya Haria anakonda ya 55million then aje kufanywa ndani kwakwe, AChen kupandikiza huo upuuzi uonekAne ni jambo la kawaida,

Administer
Muwe mnafuta huu upuuzi kwa maelekezo tuu hamna uhalisia
Yaani mkuu huwa nawashangaa sana watanzania jinsi ambavyo wamekuwa ni watu wakukurupukia mambo.
Ndio maana watu huwa wanatapeliwa sana na stori za matapeli.
 
Hey Wajaaaaa!!!

Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote.

Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli huwa haujifichi ila unachelewa kuonekana.

Kilichonikwaza ni huyo mume kumleta bwana ake ndani, tena chumbani na kitandani kwa watoto?? Wamekosa hela ya guest au Lodge? Km ni kuogopa usalama wa faragha yao, si wangepanga chumba, kiwe maalumu kwa mambo yao binafsi, mwisho anaishia kuumiza hisia za mwenzake,

Watuu kujikubali na kukubali uhalisia jinsi walivyo hawataki, eti kisa kuridhisha jamii na umma. Mambo ndio hayoo.

MliView attachment 3540965View attachment 3540965oko ndoani semeni na shengesha zenu, mtakuja mpate stroke za ukubwani.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
We utakuwa shoga tu... kwann unaleta habari za kuhamasisha ushoga??
 
Shtukeni shtukeni

Hiyo ni story ya kutunga, coca kajitungia story ili aendeleze kuhype ushoga.

Huyo mtoto furaha yake ni kuona wote mmekua upinde. Hakuna ukweli wowote wa hiyo story

Kama hiyo page inapokea confession za watu kuhusu matatizo ya ndoa, kwa nini coca hajaleta story zingine zaidi ya hiyo yenye ushoga?
 
Back
Top Bottom