Ushauri unahitajika hapa

Ushauri unahitajika hapa

Hey Wajaaaaa!!!

Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote.

Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli huwa haujifichi ila unachelewa kuonekana.

Kilichonikwaza ni huyo mume kumleta bwana ake ndani, tena chumbani na kitandani kwa watoto?? Wamekosa hela ya guest au Lodge? Km ni kuogopa usalama wa faragha yao, si wangepanga chumba, kiwe maalumu kwa mambo yao binafsi, mwisho anaishia kuumiza hisia za mwenzake,

Watuu kujikubali na kukubali uhalisia jinsi walivyo hawataki, eti kisa kuridhisha jamii na umma. Mambo ndio hayoo.

MliView attachment 3540965View attachment 3540965oko ndoani semeni na shengesha zenu, mtakuja mpate stroke za ukubwani.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo mwanamke nae mnafki tuu, yupo hapo sababu ya pesa aende wapi aache pesa ila ndo ivo Tena kumbe mumewe bwabwa na pengine ndo ajenda zao za kupata utajiri
Hapo Hana ujanja na yeye huyo mwanamke ipo siku watamfira tuu sababu ya tamaa zake, kinachofuata Sasa ni yeye kumsaga mumewe ili apewe anaconda ya pili.
 
Bwashee kwa kisa hiki,hao wana ndoa hata wakiendelea kuishi pamoja,hakuna tena upendo kati yao wala hawawezi kuja kuaminiana tena,

Suluhisho hapo ilikua ni kuachana tu ili huyo Mumewe aolewe na huyo mume wake ili achimbuliwe kwa uhuru zaidi coz ndio njia aliyoichagua,

Life is very short,hakuna haja ya kujitesa kwa kuendelea kuishi na mtu wa aina hiyo,hasa kwenye malezi ya watoto.
Ni kweli kabisa ila kuvunja ndoa , kwanza dada hana ushahidi zaidi ya kusikia tu na kuona mume wake ana pigo za ajabu ajabu , pili mumewe ni mchungaji na ndoa yao imeshikilia kazi ya muwe wake , tatu dada hana kazi na wanawatoto wa 3 , wawili wapo shule za ghali ,na mumewe ndio mlipa ada kwa kazi ya uchungaji.

Binafsi aliniomba ushauri nikaishia kumwangalia tu😋😋, kwa sababu yule dada alikua kakamilika kama mwanamke mrembo na mwenye mvuto , nikaishia kusema kimoyo moyo tu huyu mchungaji kiazi kweli.
 
Ukiona anajuta kweli na yuko tayari kubadilika, mnaweza jaribu kurekebisha kwa ajili ya watoto. Ila kama ni story tu na heshima imepotea, jipende, linda amani yako, maana kuvumilia bila heshima ni kujitesa bure. watoto wakija kugundua baba yao analimwa watamchukia na itawaathiri sana, kubadilika ngumu huenda hata utajiri au mali zake amezipata kwa njia hiyo ya mkato. Anakukula unamnyonya naye anaenda nyonya mkundu wa mwanaume akija anakupa Romance unasikia viharufu vya nya
 
Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,

Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona mumewe ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,

Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Hujatoa suluhisho, umemshauri aondoke, vipi huko aendako, maisha yatakuajee.
 
Back
Top Bottom