Ushauri unahitajika, asome degree ipi?

Ushauri unahitajika, asome degree ipi?

Wakuu kwema!.. ushauri unahitajika tafadhali degree ipi Bora kati ya
1. Bachelor of education in special Education (BED SB)
2. Bachelor of Law (LLB)
NB
Msomaji tayari ni muajiliwa idara ya Elimu secondary.
Hapo asome moja tu

Chuo kitamshinda vibaya mnoo endapo atachagua option ya ili aaanze kulakamika karogwa
 
Wakuu kwema!.. ushauri unahitajika tafadhali degree ipi Bora kati ya
1. Bachelor of education in special Education (BED SB)
2. Bachelor of Law (LLB)
NB
Msomaji tayari ni muajiliwa idara ya Elimu secondary.
Mwambie aachane na vyeti. A-update kichwa chake gap naliona hapo.
 
Kwa kuwa ni mwajiriwa tayari, mwambie aachane na mambo ya kutafuta degree, atafute hela.

Kuna wengi tu wana degree mpk 3 tofauti tofauti lkn wametoboka badala ya kutoboa.
 
Ok mawazo yote yanapokelewa
 
Back
Top Bottom