Ushauri : Tundu Lissu wafute uwanachama wajumbe 55

Ushauri : Tundu Lissu wafute uwanachama wajumbe 55

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Kwanza ni matapeli

Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!!

Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu

Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama walivyovuta mwaka Jana na kufeli vibaya

Project part two inaendelea

Lissu na Heche msicheke na kima fyeka haraka uko waende TLP uko

Hawa ni wahuni tu

Wafyekeni warudi kwa waliowatuma!!
 
Hakuna haja, kuna kipindi acha tuonyesha uongozi kwa kushinda kwa hoja hata kwa wasiotupenda
 
KWAKWELI!
👊 🤣✌️💥
Chadema mpya tafadhali sana msiwachekee mapandikizi ya ccm ndani ya Chadema! Mjue kwamba mko vitani dhidi ya ccm na wanatumia kila mbinu kukwamisha mipango yenu ; kuna mapandikizi yao mpaka kwenye kamati kuu yenu hivyo ni muhimu kuanza kutafuta namna ya kuwathibiti wale wote wanaojulikana kama chawa wa ccm kama Mrema na Yeriko hawa ni kuwafuta mara moja; mkiwachekea hawa nyani mtakuja vuna mabua! Timing of your actions is very important.
Mkiwafanyia mzaha hawa mamluki wataharibu mambo ya maendeleo ya nchi.
 
..kampeni za No Reform No Elections ziendelee nchi nzima, bila kuwashurtisha kundi la wanachama 55.
 
Tundu Lisu wafute sio chadema iwafute

Kuna safari ndefu sana ya kufikia mafanikio, hakika ni halali kuweka mpira kwapani.
 
Mbona CCM ilishawahi kuwa na G55 na hawakufutwa uanachama? Inashindikanaje chama cha demokrasia na maendeleo kushindwa kujibu hoja za wanachama wao waandamizi na kutaka kuwafukuza? Tayari mna pengo la Covid19 halafu mnataka mwongeze pengo lingine la G55? Kuweni serious. Chama bila watu sio chama.
 
Agenda ya No Reform no Election ilimlenga Mbowe akiwa Mwenyekiti kama kweli ana misuli au kalamba asali.
Ilikuwa mtego wa kummaliza kuonyesha udhahifu wake kwenye uchaguzi wa October mwaka huu.
Mara kikombe kikamwagukia Lissu ndio Mwenyekiti.
Siku hazigandi watu hao hao wamemwandikia barua katibu mkuu kutaka kugombea nafasi mbali mbali,akiwemo na Lissu hata kabla ya Reforms kufanyika.
Wanafiki wakubwa.
 
Kwanza ni matapeli

Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!!

Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu

Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama walivyovuta mwaka Jana na kufeli vibaya

Project part two inaendelea

Lissu na Heche msicheke na kima fyeka haraka uko waende TLP uko

Hawa ni wahuni tu

Wafyekeni warudi kwa waliowatuma!!
Wewe mbona hujafutwa!
 
Back
Top Bottom