Ushauri tu

Ushauri tu

Viva89

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
1,262
Reaction score
530
Ni bora ukosee njia, wasamaria wema watakueleza usije ukapotea kuoa au kuolewa
 
Na siku zote mpaka upotee ndiyo unajua umepotea, na huu umekuwa msemo kama misemo mingine still watu wanaingia chaka hii ni kwa sababu wanawake wanataka wanaume wenye pesa wakifikiri pesa hudumu na kusahau za kutafuta mkiwa wawili ni tamu kuliko za kuzikuta...wakat wanaume wanatafuta wanawake presentable na kusahau kuwa mwanamke yeyote unaweza kumfanya kuwa presentable kwani hao waliopresentable hawajazaliwa presentable kuna matunzo fulani yapo ambayo siyo bure bure au hata akiwa presentable sijui mrembo kumbuka binadamu hatujaumbwa hatujaumbika miili hubadilika,hatakuwa presentable siku zote, chamsingi ni kuwa na mtu ambaye mnapendana mnaheshimiana kila mmoja wenu yuko commited kwenye hilo penzi lenu,kila mmoja aonyeshe hisia za kumhitaji mwenzake bhaaaas! mengine yote mbwembwe tu
 
Ni bora ukosee njia, wasamaria wema watakueleza usije ukapotea kuoa au kuolewa

Mke mwema na mume mwema hutoka kwa Mungu. Ukimuomba Mungu hakuna kitu kinachoitwa kukosea....
 
Bora hata ukosee kushona suit, utavaa itaisha lakini siyo kukosea kuchagua mchumba.
 
wala hayajanikuta wandugu,and i pray yasinikute,God forbid!...kuna rafiki yangu kapewa ushauri huo afta lecture na kaka yake nikaona bora kushare
 
Back
Top Bottom