Ushauri: Tatizo la kutojiamini

Ushauri: Tatizo la kutojiamini

Huo mwandiko sasa lol!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hahah, kaandika kipaji pia. Ila nashukuru kama mada utakua umeielewa

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Anza kujipenda ,ukijipenda utajikubali na ukishajikubali utaheshimu kila unachokifanya na mwisho wa siku hautaona aibu wala kutojiamini

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Anza kujipenda ,ukijipenda utajikubali na ukishajikubali utaheshimu kila unachokifanya na mwisho wa siku hautaona aibu wala kutojiamini

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa ushaur

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
ikiwa mpaka leo bado hujapata jibu basi mbinu ni moja tuu KUWA MBISHI HII itakusaidia kujiamin mfano kuna wanasheria wengi wazuri tuu ila kinachomsadia yule mwanasheria mmoja wa chama fulani cha siasa nchini ni ubishi ndiyo maana anaonekana anajihamini lakini hakuna lolote pale.
 
Back
Top Bottom