Hahah, au sio, issue ni ubishi tu. Nitajaribuikiwa mpaka leo bado hujapata jibu basi mbinu ni moja tuu KUWA MBISHI HII itakusaidia kujiamin mfano kuna wanasheria wengi wazuri tuu ila kinachomsadia yule mwanasheria mmoja wa chama ni ubishi ndiyo maana anaonekana anajihamini lakini hakuna lolote pale.
Hii nayo inaweza kuwa sababu. Jitahidi kuhudhuria michezo hata kama hupendi hata kuangalia. Pia seminar za maada mbalimbali kusoma vitabu tofauti tofauti inaweza kuwa msaadaHapana sishiriki mchezo wowote ule mkuu
sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Habari wana forum,
Mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo kimoja hapa TZ, kiukweli nimekuja hapa kuwaelezea tatizo langu linalonisibu hivi sasa. Kiukweli nina shida ya kukosa kujiamini kabisa kwenye mambo tofauti tofauti kama kielimu na maisha ya kawaida, mfano kama kipindi cha examination ninakua na wasi wasi hata kwenye namba yangu ya mtihani ninayoandika nahisi kama nitakuwa naikosea.
Ushauri ndugu nifanye nini kuliepuka hili tatizo maana linanipa shida sana.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Ni kweli yote uliosema, hasa hilo la kurudia rudia kufanya jambo flani ili nilihakikishe kiukweli ndio linanifanya hata nidharaulike nionekane mjinga Mbele za watu. Kama juzi nlienda kusign Ada lakin baada ya katoka nje ikabid nirud tena kuhakikisha kama nimesign sahihikitaalamu una tatizo yaani Low self esteem
LABDA tatizo linaweza kuwa baadhi ya haya
1. Childhood Trauma kuna majeraha ya nafsi uliyapata ulipokuwa mdogo
2.Una shida ya Msongo wa Mawazo
3.Magonjwa ya kisaikolojia kama OCD yaani obsessive Compulsory Disorder. kitu kimoja unaweza kirudiarudia kukifanya au kuhakikisha hata mara 10 au anxiety ambapo ndani yake kuna hofu labda testophobia wengine wanaiita exam fever
4. Familia yenu kuna mtu nae ana tatizo kama hilo labda babu mjomba nk
Ni mengi ya kubashiri
(NOTE; sikuhukumu lakini nikifahamu source ntaweza kusaidia ktk kuishinda tabia hyo
.......)
Oky muda wangu wakulala ndyo huu....ila ntext inbox your life na parenting style umepitia experience za utotoni na za kishule kesho ntajua wapi pa kuanzia ktk therapyNi kweli yote uliosema, hasa hilo la kurudia rudia kufanya jambo flani ili nilihakikishe kiukweli ndio linanifanya hata nidharaulike nionekane mjinga Mbele za watu. Kama juzi nlienda kusign Ada lakin baada ya katoka nje ikabid nirud tena kuhakikisha kama nimesign sahihi
sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Sawa mkuuOky muda wangu wakulala ndyo huu....ila ntext inbox your life na parenting style umepitia experience za utotoni na za kishule kesho ntajua wapi pa kuanzia ktk therapy
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Habari wana forum,
Mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo kimoja hapa TZ, kiukweli nimekuja hapa kuwaelezea tatizo langu linalonisibu hivi sasa. Kiukweli nina shida ya kukosa kujiamini kabisa kwenye mambo tofauti tofauti kama kielimu na maisha ya kawaida, mfano kama kipindi cha examination ninakua na wasi wasi hata kwenye namba yangu ya mtihani ninayoandika nahisi kama nitakuwa naikosea.
Ushauri ndugu nifanye nini kuliepuka hili tatizo maana linanipa shida sana.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hata demu huna?Sio mtumiaj mkuu
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Hana tatizo lolote la saikolojia...simply atafute demu wa uswazi awe anahang naye kitaa atakuwa domo jepesi tuu.Katafute mtaalamu wa saikolojia mkuu
Huwexi kuwa mbishi kama huna hoja upstairz....mie mbishi na full nondo kichwani so kila idara ukigusa nipo fresh....pia kiburi na kujiona you are the best while the rest are good and better.ikiwa mpaka leo bado hujapata jibu basi mbinu ni moja tuu KUWA MBISHI HII itakusaidia kujiamin mfano kuna wanasheria wengi wazuri tuu ila kinachomsadia yule mwanasheria mmoja wa chama fulani cha siasa nchini ni ubishi ndiyo maana anaonekana anajihamini lakini hakuna lolote pale.
Achana na huo upuuzi dogo huna tatizo lolote....Sawa mkuu, ntajarb
sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app