Ushauri: Tatizo la kutojiamini

Ushauri: Tatizo la kutojiamini

Soma vitabu vya dini, jiamiani, iweke hiyo hali katika maombi, pia usiikubali hiyo hali kwamba ni yakwako fanya mabadiliko. Halihilo itaisha

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Asante sana

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Aisee bro hyo altitude ni ya hatar japo naona pia itasaidia. Thanks bro

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Dogo...this world has never been fair especially for ppl like you..if they are not on your side why cant they be your enemies once and for all?

Lazima ukubali kujipenda wewe kwanza na usiruhusu adui akufanyie shambulio liwe la kudhuru mwili au hata kushusha urijali wako kosaikolojia... adui ni adui tuu.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli yote uliosema, hasa hilo la kurudia rudia kufanya jambo flani ili nilihakikishe kiukweli ndio linanifanya hata nidharaulike nionekane mjinga Mbele za watu. Kama juzi nlienda kusign Ada lakin baada ya katoka nje ikabid nirud tena kuhakikisha kama nimesign sahihi

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Pia labda una mawazo mengi yanayochangia kutokuwa na concentration nzuri unapofanya jambo.

Ili uweze kukumbuka vizuri jitahidi kuondoa mawazo uliyonayo unapofanya jambo.

Kiujumla ni kuwa makini unapofanya jambo kitu ambacho kitakusaidia kukumbuka na kuwa na uhakika na kitu ulichofanya.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
That is not the main reason, there is the truth within yourself, kama ulikulia makuuzi ya kukulalamikia kila mala, wazazi, kaka zako, dada zako, yaani kila kitu kitakuwa lawama tu. Kila jambo unaliangalia kwa négativité, maana katika kukua kwako hukupewa mtazamo chanya. kadri unavyokuwa unakuwa unapoteza ile nguvu chanya maana unachoambiwa utotoni ni negative tu. Hali hiyo inakupelekea kuwa na nguvu hasi, mwoga mwoga, hasira zisizo na kichwa wala miguu, chunguza watu waoga wengi ni wanakuwa na hasira sana wakichukia. Na hizo nguvu zinakufata popote, darasani unakuwa unaogopa kuongea, ukingoja daladala zinapita tu zote zimejaa, ila unashangaa mbele kidogo inasimama inabeba abiria, ukiwa kwenye foleni ya chalupa kinaisha kabala wewe hujapata.

Hata hizo negativite zigeuze positive, jifunze kushukuru kuliko kuhukum
Anza kuangalia mambo kwa mtazamo chanya, anza kujichanganya na watu wa rika mbalimbali, ongea mbele za watu hata kama utachekwa lakini ndio mwanzo wa kujifunza public speech.
Kinyume cha Love ni Chuki-Anza kujipenda, jikubari mwenyewe, penda vile ulivyo, kama uko kafupi, mrefu, mweusi tii au mweupe pee.,,..jikubari utaona nuru usoni kwako na maisha ya uwoga yatatoka taratibu. Na ukiweza kujipenda menyewe na kushukuru Mungu vile amekuumba, utaona unaweza wapenda wengine, namaanisha kupenda sio kujipendekeza, jipende na ujiheshim, utaheshim na kupenda jirani na marafiki na dunia kwa ujumla.
Best advice ever

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Oky muda wangu wakulala ndyo huu....ila ntext inbox your life na parenting style umepitia experience za utotoni na za kishule kesho ntajua wapi pa kuanzia ktk therapy

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Jamiiforum waningia watu mbali mbali kwa faida ya wengi na vizazi vijavyo ungeandika hapa hapa tu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi Nina tabia kama uliyoiongelea kwenye namba tatu... nafanyaje kuishida hii tabia
kitaalamu una tatizo yaani Low self esteem
LABDA tatizo linaweza kuwa baadhi ya haya
1. Childhood Trauma kuna majeraha ya nafsi uliyapata ulipokuwa mdogo
2.Una shida ya Msongo wa Mawazo
3.Magonjwa ya kisaikolojia kama OCD yaani obsessive Compulsory Disorder. kitu kimoja unaweza kirudiarudia kukifanya au kuhakikisha hata mara 10 au anxiety ambapo ndani yake kuna hofu labda testophobia wengine wanaiita exam fever
4. Familia yenu kuna mtu nae ana tatizo kama hilo labda babu mjomba nk
Ni mengi ya kubashiri
(NOTE; sikuhukumu lakini nikifahamu source ntaweza kusaidia ktk kuishinda tabia hyo
.......)
 
Dogo...this world has never been fair especially for ppl like you..if they are not on your side why cant they be your enemies once and for all?
lazima ukubali kujipenda wewe kwanza na usiruhusu adui akufanyie shambulio liwe la kudhuru mwili au hata kushusha urijali wako kosaikolojia...adui ni adui tuu.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Pamoja bro, Sharp but Safe.

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Pia labda una mawazo mengi yanayochangia kutokuwa na concentration nzuri unapofanya jambo.

Ili uweze kukumbuka vizuri jitahidi kuondoa mawazo uliyonayo unapofanya jambo.

Kiujumla ni kuwa makini unapofanya jambo kitu ambacho kitakusaidia kukumbuka na kuwa na uhakika na kitu ulichofanya.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Mkuu mm Nina tabia kama uliyo iongelea kwenye namba tatu ...nafanyaje kuishida hii tabia
Kumbe tupo wengi

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Hapana, mama alfark nikiwa na miaka minne kama sio mitano, nmepitia kwny mikono ya bibi na mdugu wengin

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Most of the time mtu aliepitia mazingira hayo huwa na hisia kama zako
Muhimu anza kujifunza kujenga confidence taratibu,anza na group la watu wache kama watatu then ongeza no up to six
Baada ya muda utazoea....ukiruudisha fbback tutakwenda hatua ya pili...jarb kwa
miez mitatu
 
Jitahidi uwe unajiamini zaidi

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
Ni hatua kubwa kwanza pale tu ulipotoka na kuandika hapa chukua hatua ya pili utashinda
 
Nashukuru wakuu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Asante sana ndugu, still me ni mwanafunz second year. Na hayo unayoyasema yote kama unanizungumzia mm. Asante nashukuru kwa ushaur ntaufanyia kazi

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
We ni mwenzangu kabsaa, ila mimi nahisi nimeanza kupata confidence kidgo baada ya kujichanganya na kukaa na watu tofauti tofauti so najikuta na mimi. Nina uwezo atlist wa kujilezea ila tatizo kama lako bado linanitesa…!!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana forum,

Mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo kimoja hapa TZ, kiukweli nimekuja hapa kuwaelezea tatizo langu linalonisibu hivi sasa. Kiukweli nina shida ya kukosa kujiamini kabisa kwenye mambo tofauti tofauti kama kielimu na maisha ya kawaida, mfano kama kipindi cha examination ninakua na wasi wasi hata kwenye namba yangu ya mtihani ninayoandika nahisi kama nitakuwa naikosea.

Ushauri ndugu nifanye nini kuliepuka hili tatizo maana linanipa shida sana.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Tafuta demu utajiamini hatari na pia kuwa msocial japo kuna stress nying utapata kwenye relationship lakin ndivo utakavyokuwa strong,,huwez ukaepuka mahusiano

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa ushaur mzuri ndugu, kiukweli naanza kupata sources mbalimbali kuhusu hili tatizo. Kweli back home soma yangu ni ya kutishwa sana,
hakuna mtihani nliowah kupongezwa kwa kufauru kuanzia Form four mpaka napita form six na sasa niko chuon. Nntaambiwa tu we ulikua mzembe ndio maana umefaul kwa daraja flan lakin Si hongera wala ushaur kuhusu kufanikiwa zaid

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Kumbuka hauko peke yako uliekulia maisha hayo, ila watu wanajifunza kugeuza mabaya kuwa mazuri, hata hao ambao hawakupongezi kwa jitihada zako katika masomo pia washukuru na wabariki maana ndio hao wanakufanya ufanye bidii zaidi.
Shukuru walikupa ugali ulipokuwa na jaa
ulikulia sehem ambayo unaita nyumbani/kuna watt wa mitaani wengi tu kwa nini si wewe
Upo chuo, wangapi wamekosa chuo hali wanajiamini ki akili/darasani na kimaisha
Wangapi wanatamani hiyo nafasi uliofikia? mtaani kwako, familia yako? kanisani/msikitini.
Jifunze kwenda kushiriki mambo na vijana wenzio, taratibu utafika sehem unayotaka, pia michezo ni muhim kama wadau wengine walivyosema.
 
Asante sana nashukuru sana ndugu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Back
Top Bottom