Habari zenu wana jf
Kuna rafiki yangu ameolewa katika familia kabila ni tofauti na lake..
Sasa linapokuja swala la vikao ukweni hata wakwe wakija nyumbani kwake ni kilugha kinacharazwa... alijaribu kumueleza mumewe akamwambia atalifanyia kazi lakini holaa mambo yaleyale..
Kwa upande wake anajiskia vibaya na ukizingatia yeye ni wa kwanza kuolewa wengine ni wanawake na wameolewa anajiona sio sehem ya hiyo familia anaogopa kuwaambia wakwe..
JE AFANYAJE??????????
Ukiwa na msimamo mkali kama huo basi utaanza kusikia maneno kutoka ukweni wakisemaKama ningekua mie wala hata nisingejali ningewaacha waongee kilugha chao hadi mwisho wa dunia, niume nini sasa?
This is too much asee, wanajua mie kabila lingine wanaongea lugha all the time afu nianze tena kuulizia cha kufanya mmh ngumu, sasa hapo kwenye kumtafutia kaka yao dem itabidi hao dada ndo wawe madem zake ili waelewane lugha.....Ukiwa na msimamo mkali kama huo basi utaanza kusikia maneno kutoka ukweni wakisema
Wazee:
"yaani huyu mtoto kaolewa huku kwetu miaka nenda miaka miaka rudi hata kusalimia kilugha tu hawezi? Hawezi au hataki? Au anatudharau? Kajifunzaje Kiingereza na Kifaransa leo iweje kashindwa kujifunza kilugha chetu rahisi kama hiki?
Mawifi:
Dawa yake ndogo huyu. Ni kumtafutia kaka yetu msichana bomba wa kabila letu - basi hata kama ni kimada tu. Ataisoma namba huyu.
Wewe:
Huna hili wala lile unajikuta umeachika, au amani inakuwa ndogo katika familia.
Jifunze lugha ya wakwe zako - hata kama utaivunjavunja unapoizungumza. Wakwe zako (na muhimu zaidi, mume wako) watafurahia sana kuwa unajitahidi uijue.
Ushauri wa bure huu.
Ana bahati sana ila bas tu hajui! Mm spendi kuwa na mmke lugha sawa hapana! Na kweli nikiwa naongea na watu wa nyumbani hasa mama yangu sijawahi kuongea kiswahili na huwa najiskia raha. Sasa huoni ni bahati kama nao hawajui lugha yake? Akitaka kupiga umbea na wa kwao si ndo bahati yenyewe??
Sasa nsanzu yeye anaona ana haki ya kusikia kwa sababu ikitokea matatizo na yeye anahusika kwa asilimia kubwa iweje katika swala la vikao asihusishwe????Huyo nae ni mbea tu, anataka asikie na aelewe kila kitu ili iweje? Kweli Jasiri haachi Asili
Hili nalo neno......Ukiwa na msimamo mkali kama huo basi utaanza kusikia maneno kutoka ukweni wakisema
Wazee:
"yaani huyu mtoto kaolewa huku kwetu miaka nenda miaka miaka rudi hata kusalimia kilugha tu hawezi? Hawezi au hataki? Au anatudharau? Kajifunzaje Kiingereza na Kifaransa leo iweje kashindwa kujifunza kilugha chetu rahisi kama hiki?
Mawifi:
Dawa yake ndogo huyu. Ni kumtafutia kaka yetu msichana bomba wa kabila letu - basi hata kama ni kimada tu. Ataisoma namba huyu.
Wewe:
Huna hili wala lile unajikuta umeachika, au amani inakuwa ndogo katika familia.
Jifunze lugha ya wakwe zako - hata kama utaivunjavunja unapoizungumza. Wakwe zako (na muhimu zaidi, mume wako) watafurahia sana kuwa unajitahidi uijue.
Ushauri wa bure huu.
Ha ha ha ha wifi Saitaa.This is too much asee, wanajua mie kabila lingine wanaongea lugha all the time afu nianze tena kuulizia cha kufanya mmh ngumu, sasa hapo kwenye kumtafutia kaka yao dem itabidi hao dada ndo wawe madem zake ili waelewane lugha.....
Kuna lugha za kujifunza kirahisi, namie ni mwepesi sana kujifunza lugha (sio lugha ya queen Eliza ha ha ha) Ila kuna lugha zingine mmh kama kiiraq(mbulu) hiki kimenishinda zaidi ya salamu siambulii kitu na hii ndo lugha ya ukweni kwangu
Ha ha ha saitaa, itabidi unipe twisheniHa ha ha ha wifi Saitaa.
Karibu dear!Ha ha ha saitaa, itabidi unipe twisheni