USHAURI: Simuelewi mume wangu

1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.

2. Biashara zimemnyookea?

3. Yuko busy na simu?

4. Anachelewa kurudi?

5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
6. Yeye ni katibu wa mchungaji?
 
Iyo hali ni ya kawaida kwa mwanaume kukosa hisia kwa mke wake ila ni ya mda tu itaisha wenyewe kuwa mstahmilivu
 
Hatimae tumefikiwaaaa🤣🤣🤣
Haya malalamiko huwa ni ya wanaume.
 
Serious,
Addictions ya Betting inakata nyege zote
MDA wote kichwa Kiko resi kinawazia timu za kumpasua muhindi
 
Mimi sio "mkuu"

Mimi ni BABU
Nafurahi ulivyoweza kuji brand kwa ubabu bandia😂😂

Babu mpenda nyuchi...sijui ni Mmarangu au Mmachame wanapenda down....sana🤣
 
Nunua feni au AC,mchawi hapo ni joto.

Hii tabia hata mimi huwa ninayo,huwa najikausha nione kama mke wangu huduma yangu huwa anaimiss,yaan huwa najipima,tena hii tabia nilianza kuifanya hata kabla ya kuoa,hapo nyuma nilkuwa nabahatika kuishi na wanawake kama wake zangu nilikuwaga na utaratibu huo nikiona anahitaji mwenyewe ndo nafurahi najua kumbe huwa natoa huduma nzuri

Pia huwa najituliza ili kibuyu kijae ili siku nikiwa free nimpelekee moto ambao sio wa kawaida yaan wa kuvunja rekodi,mara nyingi huwa na bahati ya kuwa na wanawake wanaopenda sana show unakuta ni kila siku anataka,sasa unakuta siku zingine napiga kimya ili nijaze kibuyu ila umesema jamaa wiki 2 anamaliza huyu ni kiboko,mimi wiki siwez maliza,sana sana ni siku tatu

Muda mwingine nilikuwa najituliza kutokuomba mchezo ili nipate nguvu za kupeleka moto huko nje kwa mchepuko.
 
Umetoa sababu za msingi Sana,
Wanawake wanajisahau mno
 
Hii issue naona imekaa kama kibongo movie.

Yaani Mwanammke anashindwa kujua mwanamme ana shida gani?

1. Kuwanza kwamba ana shida ya nguvu za kiume ,sasa ili si unalijua kabisa ,mstukize kutaka mchezo halafu angalia jogoo atawika kwa muda gani,kama withini short time means yupo ok ila ikichukua muda sana means hapo hana nguvu.

2. Mchepuko -yaani mpaka ameamua kuwa na mchepuko means wewe hautimizi majukumu yako ipasavyo hadi anafikiria kuwa na mchepuko ,wengi wenye mchepuko anatwanga kote kote nje na ndani ,mchepuko hauzuii kutoa dozi ndani.

 
Mama shida Iko kwako

Maandalizi ya chakula siyo mazuri unapaswa kumwandalia chakula akishiba ugwadu unakuja wenyewe
 
Nashukuru nimependa ushauri wako nahisi hii njia ndoitatatua hili tatizo coz ni mtu mwenye wivu sana na mm najua nikijikausha lazma ajiulize huyu mtu vipi au ndokashapata mtu uko anamridhisha
Eeeh fanya hvo hivo dear....Alafu na simu iwekee password utaona anahangaika na simu.....akikuuliza password mwambie bila ya kusita hapo ataanza mwenyewe oooh unajua mke wangu sijui nn hapo ww ndo utaweza kumbana vzur na utamwambia hivi mme wangu hata kama unachepuka kua makini hata mim nina moyo na maradhi yapo ukimaliza usiongeze neno hata moja alafu endelea na shughuli zako majibu utayapata muda mfupi kutoka wakati huo
 

Usikute tayari ana basha wake sasa maana kama hata uchi wako hautamani tena kwa visingizio.

Siku akikubali kukumeng’enya jaribu kumpekekea mkono kunako kwa mpalange, test mitambo uone atareact vipi.

Siku hizi dunia tumelvua nguo unaweza kudhani upo na mume ndani kumbe mwenzio naye ana mume.
 
Nliwaza hivi ila nikaona taonekana mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…