Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Sasa wivu wa nini wakati dadako anapewa kle anachostahili? Wewe kama unaona anakukera hama ukaanze maisha yako na wewe ukao dada wa mtu uwe unamshikashika kulipiza wa kwako anavyoshikwa makalio
sijajipanga bado mkuu mpaka mwezi wa 11
 
Nyambafu wewe kinachokukalisha hapo ni nini sasa[emoji34]
Ipo siku shemeji yako atakuvalia khanga ilioandikwa WIVU SIO DAWA
Fanya uhame hapo mjinga wewe,kazi tu kula kulala[emoji34]
unaniongezea uchungu mkuu
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
We mshamba, kama kushikwa makalio ya dadako inakukera si umwambie aje ashike ya kwako. Siku huyo pweza akikuingia uje utuambie hapa kama alikuwa mtamu kama yai.
 
Mkuu, hiyo ni haki yake. Huyo ni mke wake halali na nyumba yake. Sasa mbona unataka kumbana sana shemejio? La muhimu hapo kama unaona kero tembea!
 
Na bado, ingekuwa ni mimi ndiyo huyo jamaa ningeshinda siku nzima na boxxer tu hapo sebuleni na dada yako akiwa na kanga moja tukiwa tunacheza-cheza hadi utakapofikia maamuzi ya kwenda kupanga chumba kimoja huko uwanja wa fisi.
 
Back
Top Bottom