Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Huyu dogo anazingua sana, habari za nyumbani kaziletea bango huku. Sasa siku akiona dada yake anavyonifanyia tukiwa faragha si ndo atakufa kabisa. Kuwa mpole shemeji mali yangu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀Wewe ni ke au me?, tuanzie hapo kwanza
 
Na Hadi Leo upo hapo kwake??? Ulifukuzwa kitambo sema hujiongezi tu
 
Shemeji umekuja kunisema uku, leo nanunua miogo mibichi kalanga na pweza ndo menu yangu na sauti lazima usikie uko chumbani kwako.
 
Nimeumia moyo sana kusoma ujinga huu. Ati tumshauri kabla hajachukua maamuzi magumu juu ya shemejiye!! Kweli?? Usichukue maamuzi magumu tu bali mfukuze dadako uingie weye chumbani kwake. Kama kuna bwege basi weye ndo kubwa lao. Rudi kwenyu Babati ukachunge mbusi
 
Hii story yako ni finction but ina uzwazwa fulani pangilia kisa vizuri

F@nn¥[emoji769]
 
duuuu haya ngoja niacha kusema leo maana dogo anazingua na uzi wake
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Hama kwa shemeji ndio suluhu
 
Piga chabo siku ukute anatandikwa kisoda upige mayowe kabisa bwege ww.
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Uchukue maamuzi magumu kivipi? We ni Ke, au Me? Unamuonea wivu Dada yako? Kama wewe ni msichana, pole Sana, huyo shemeji yako anakuwinda, lakini kama wewe ni kijana wa kiume, hilo halitakiwi kukupa tabu kabisa, sasa wewe dada yako anashikwa makalio wewe kinakuuma nini,?!! Huyo ni mke wake,
Mimi hata nikikuta Dada yangu anachezea pipe kwa kuikalia, sina shida,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muombe dadaako ushauri sie huku hatujui dadaako huko nyuma ana nini mpaka shemeji yako anamshika labda utuwekee picha!
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Na wewe kwanini uende kuishi nyumban kwa dada yako mkuu!!? Umekosa hata dili la kufanya ambalo litakusaidia kulipa chumba cha elf 25
 
Back
Top Bottom