Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Unataka ushikwe wewe. Kama wewe ni Me jiongeze nenda kapange kwako uishi acha Dada ako apigwe mashine kwa starehe zao bhana. Huyo ni mume wa Dada ako alali amelipia mahari ili wajenge familia.

Wewe kinachokuwasha ni Nini? Nasema hama miaka uliyokaa kwa Dada ako inatosha yaani huna hata chembe ya aibu
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Acha ungese Sasa, yaani upo kwa shemejii yako unajinasibu kua unafanya kabisa joging , kukosa utafute kazi yeyote hata ya kibarua ufanye unakaa unakimbia kimbia tu bila mpango na kula ugal wa bure we hovyo kabisa, yaani ulichoandika humu Kila mtu kakuona we hujielew kabisa
 
huyu jamaa anataka yeye ndo ashikwe makalio? ingawa kaandika chai lakini naona ana tabia za kizanzibari sana.maana hata kama ingekuwa kweli huwezi kuja lalamika kwa suala hili kwa uchungu hivi kana kwamba ulitaka uwe unashikwa wewe badala ya huyo dada yako.
 
Yaani wewe unakula vya shemeji yako alafu unategemea asimshike makalio dada yako. Kirahisi rahisi tu!
 
IMG-20180924-WA0007.jpg
 
Nyambafu wewe kinachokukalisha hapo ni nini sasa[emoji34]
Ipo siku shemeji yako atakuvalia khanga ilioandikwa WIVU SIO DAWA
Fanya uhame hapo mjinga wewe,kazi tu kula kulala[emoji34]
 
Kwani dada yake kaolewa kufuata nini, vitu vyote vipo nyumbani isipokuwa hicho tu
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
mzee wa Pentagon ile blackberry uliokuwa unaulizia ushaipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom