Ushauri: Serikali kupitia TRA iwakamate wananchi wanaotoka kununua vitu bila risiti

Hapana.
Serikali iboreshe mifumo ya e-payment nchini halafu ingepitisha sheria malipo ya biashara yoyote kuanzia 500,000 yawe kwa njia ya electeonic,
kisha TRA waweke mfumo wa reconcilliation za efd report vs finance transaction report vs stock report za mfanyabiashara kila mwezi, kila kanda.
 
Wengine tumezoeya kutembea na pesa na sio makaratasi ya risiti.
TRA wadili na mfanya biashara na sio mie mteja.
 
Back
Top Bottom