King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 736
- 2,673
Kama nimetoka kwenye duka la hardware nimebeba mzigo wa mil.2 nimekamatwa nikapigwa faini hata mil.1 huo ujenzi si utakuwa mwakani tena.
Elimu ya kutosha kwanza. Nakubaliana na wewe.Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi.
Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua.
Serikali pia igawe bure machine za EFD kwa wafanyabiashara wote hata wadogo watakuwa wakikatwa kidogo kidogo kwenye kodi inayekusanywa.
Sheria zipo zifutwe lasivyo kodi ya ya trion 2 hatutaipata.
NB: leo nimenunua mafuta sehemu akaniambia mashine imeharibika ya kutoa risiti nikamwambia naomba nitoe mwenyewe akanipa nikatoa risiti ikatoka.
Pia viwepo vipindi kwenye TV vya kuwafundisha wananchi juu ya matumizi ya hizi Machine za kutolea Risiti.
Mwigulu Fanya kazi kwenye kodi hakuna mchezo ili mradi tu msivunje sheria.
Actually hilo la efd system kuwa na rekodi za mauzo na manunuzi ya mlipakodi ni the best thing likiweza kufanikiwa.... ha ha ha! Eti EFD zinarekodi mauzo tu hazihangaiki na hayo mengine sijui kodi ya pango, kodi za mainspaa, utilities - sijui umeme, maji, mishara, n.k. hayo hayawahusu Mkuu. Unatakiwa gharama zake uwe umeziongeza kwenye bei ya bidhaa au huduma unazouza.
Acha serikali iendelee kutubembeleza kulipa kodi ili tuone tutafika wapi. Kwa mbali naona tumeanza kuwaomba IMF watusaidie kugharamia SGR na Nyerere dam construction. Kodi ilipwe kwa hiari, tusilazimishane. Ni udikteta na ukandamizaji wa haki za binadamu kulazimishana kulipa kodi.Mbongo unambembeleza hivyo ataenda? Mimi niliwahi kuleta uzi humu kuwa tumsaidie mama Samia kwa kuwa Sasa hivi kariakoo suala.la risiti ya EFD ni Kama halipo Tena.
Nikashambuliwa Sana na watu humu, sikujua kuwa watu hawapendi kulipa kodi
Inachekesha kwa kweli. Kumbana mfanyabiaahara ni kumkandamiza ila kumbana mteja si kumkandamiza. Awamu hii tutaona vituko vingi sana.Nimecheka kwa kilugha yahani wenye maduka waachwe ubane watumiaji huu ni ufedhuli kama kuna ukwepaji kodi jua mfumo wa kodi sio mzuri jiulize kwanini watu wanakwepa kulipa Kodi? Tuanze apo
Je kodi tunakutana nayo katika maisha ya kila siku?
Ukinijibu maswali ayo nitakwambia kwanini hatulipi baadhi ya kodi maana nchi hii hakuna mtu asiyelipa kodi inategemea ni aina ipi ya kodi unayozungumzia.
Ni ushamba tu wa Mwendazake na haturudi huko. Kuchukua risiti ni HIARI ya mtu world wide.Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi.
Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua.
Serikali pia igawe bure machine za EFD kwa wafanyabiashara wote hata wadogo watakuwa wakikatwa kidogo kidogo kwenye kodi inayekusanywa.
Sheria zipo zifutwe lasivyo kodi ya ya trion 2 hatutaipata.
NB: leo nimenunua mafuta sehemu akaniambia mashine imeharibika ya kutoa risiti nikamwambia naomba nitoe mwenyewe akanipa nikatoa risiti ikatoka.
Pia viwepo vipindi kwenye TV vya kuwafundisha wananchi juu ya matumizi ya hizi Machine za kutolea Risiti.
Ili risiti mtu akiambiwa hazitoki ahakikishe mwenyewe kama kweli machine ni mbovu.
Pia tenda za utengenezaji wa hizi machine zitangazwe kila wilaya iwepo kampuni inayoshugulikia haraka zikiharibika.
Mwigulu Fanya kazi kwenye kodi hakuna mchezo ili mradi tu msivunje sheria.
Hatuwezi kutumia SGR na Stiglers project kama msukumo wa kukusanya Kodi.Acha serikali iendelee kutubembeleza kulipa kodi ili tuone tutafika wapi. Kwa mbali naona tumeanza kuwaomba IMF watusaidie kugharamia SGR na Nyerere dam construction. Kodi ilipwe kwa hiari, tusilazimishane. Ni udikteta na ukandamizaji wa haki za binadamu kulazimishana kulipa kodi.
Viva JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hai wananchi ndo watakuwa wakiwasilisha mahesabu ya Kodi tra?Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi.
Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua.
Serikali pia igawe bure machine za EFD kwa wafanyabiashara wote hata wadogo watakuwa wakikatwa kidogo kidogo kwenye kodi inayekusanywa.
Sheria zipo zifutwe lasivyo kodi ya ya trion 2 hatutaipata.
NB: leo nimenunua mafuta sehemu akaniambia mashine imeharibika ya kutoa risiti nikamwambia naomba nitoe mwenyewe akanipa nikatoa risiti ikatoka.
Pia viwepo vipindi kwenye TV vya kuwafundisha wananchi juu ya matumizi ya hizi Machine za kutolea Risiti.
Ili risiti mtu akiambiwa hazitoki ahakikishe mwenyewe kama kweli machine ni mbovu.
Pia tenda za utengenezaji wa hizi machine zitangazwe kila wilaya iwepo kampuni inayoshugulikia haraka zikiharibika.
Mwigulu Fanya kazi kwenye kodi hakuna mchezo ili mradi tu msivunje sheria.
... huu nao mtihani!
Hivi mkuu sheria inasemaje kama nimekopa dukani! je nitapelewa risiti siku nikilipa au napewa kabla ya kulipa?Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi.
Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua.
Serikali pia igawe bure machine za EFD kwa wafanyabiashara wote hata wadogo watakuwa wakikatwa kidogo kidogo kwenye kodi inayekusanywa.
Sheria zipo zifutwe lasivyo kodi ya ya trion 2 hatutaipata.
NB: leo nimenunua mafuta sehemu akaniambia mashine imeharibika ya kutoa risiti nikamwambia naomba nitoe mwenyewe akanipa nikatoa risiti ikatoka.
Pia viwepo vipindi kwenye TV vya kuwafundisha wananchi juu ya matumizi ya hizi Machine za kutolea Risiti.
Ili risiti mtu akiambiwa hazitoki ahakikishe mwenyewe kama kweli machine ni mbovu.
Pia tenda za utengenezaji wa hizi machine zitangazwe kila wilaya iwepo kampuni inayoshugulikia haraka zikiharibika.
Mwigulu Fanya kazi kwenye kodi hakuna mchezo ili mradi tu msivunje sheria.
Kaambiwa na JK akajifunze kwa Uhuru namna ya kuendesha nchiNaamini Suluhu atapata muongozo wa Uhuru kuhusu jinsi wao wanafanya na kufanikiwa ukusanyaji kodi bila uonevu au makundi flani kubebeshwa mzigo mkubwa wa kodi.
Wamachinga wanatoa risiti?Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi.