TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Asante!Jitahidi matumizi ya R&L
Pamoja mkuuAsante!
Hata mimi nimeshangaa sana kwenye hilo. Labda kama issue ni ardhi.Mpaka Mall serikali ijenge? hii ni zaidi ya ukomunisti, amkeni nyie sio kila kitu serikali
Serikali katika mkoa inaweza fanya, kinakuwa chanzo cha mapato. Sio Serikali kuu.Mpaka Mall serikali ijenge? hii ni zaidi ya ukomunisti, amkeni nyie sio kila kitu serikali
Serikali katika mkoa inaweza fanya, kinakuwa chanzo cha mapato. Sio Serikali kuu.
Kwenye ofisi zote za serikali za mitaa Kata ya kijichi kuna picha ya mall ambayo inaonyesha itajengwa eneo la kijichi..na bila Shaka ni project ya serikali..ni mzuri Kwa mwonekano piaHata mimi nimeshangaa sana kwenye hilo. Labda kama issue ni ardhi.
Kama eneo ni prime, ni wakati wa sekta binafsi kuchangamkia fursa.
Kama vipi wafanye PPP.Kwenye ofisi zote za serikali za mitaa Kata ya kijichi kuna picha ya mall ambayo inaonyesha itajengwa eneo la kijichi..na bila Shaka ni project ya serikali..ni mzuri Kwa mwonekano pia
Jitahidi matumizi ya R&L
PPP ni nini mkuuKama vipi wafanye PPP.
Kama eneo lipo tayari ni wao kutafuta wadau tu.
Public-Private Partnership.PPP ni nini mkuu
Soko tu limekosa biashara, hiyo mall itapata mteja yupi?Nashauri serikali wajenge Mall kubwa kupitia muwekezaji kwenye eneo lililobaki itasaidia kuchangamsha eneo husika na kuongeza mapato.
Tunapenda mno kujimwambafai. Heri wangesema watu wajijengee vijiduka badala ya hicho wanachoita "mall".Soko tu limekosa biashara, hiyo mall itapata mteja yupi?
Soma vizuri nimeandika kuomba serikali ijenge mall kupitia muwekezaji ,japo hata ikiamua kujenga serikali yenyewe sio mbaya bwashekhe.Hata mimi nimeshangaa sana kwenye hilo. Labda kama issue ni ardhi.
Kama eneo ni prime, ni wakati wa sekta binafsi kuchangamkia fursa.
Eneo lipo kubwa sana na la wazi tazama picha vizuri utaliona mkuu.Soko limejengwa ushuani sana wakati wakazi wa eneo soko lilipojengwa ni washua kwa sana wazee wa kwenda kuhemea mall,kama walikuwa na mpango wa kujenga soko walipaswa kujenga mitaa ya ushwahilini changanyikeni kwenye waswahili wengi.Hata mimi nimeshangaa sana kwenye hilo. Labda kama issue ni ardhi.
Kama eneo ni prime, ni wakati wa sekta binafsi kuchangamkia fursa.
Soko tu limekosa biashara, hiyo mall itapata mteja y
Pale lilipo soko ni zaidi ya masaki boss ,ni kwa maboss man ,huwezi ukajenga soko la kuuza nyanya za kupanga kwenye meza hauwezi mpata mtu.Option ya mall kubwa yenye kumbi za cinema itawavuta washua na waushazi si unajua sisi watoto wa kishwahili hatupendagi dharau za kuachwa nyumba weekend lazima tukajimix cinema na vishopping vya kizushi hii itapelekea eneo lile kuwa busy sana😂😂Tunapenda mno kujimwambafai. Heri wangesema watu wajijengee vijiduka badala ya hicho wanachoita "mall".
Amandla...