feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,413
- 14,296
Dar lux wazuri ila baadhi ya madereva ni jeuri kupindukia...kwa ujumla hakuna kampuni nzuri kwa usafiriKISBO ilikua kampuni yangu pendwa ila kwasasa naona kama imechoka sanaa..DAR LUX siwaamin sanaa
Wanazohuduma zote hizo hao tungisi?Kisbo & dar luxury wapo vzr ila tungisi wamekuja kwa Kasi Sana nakushauri panda tungisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ally'sNaomba kuuliza ni kampuni gani ya bus yenye ubora wa safari kama mwendo wa kawaida, music, Wi-Fi, charge system n.k (daraja la kwanza) kutoka Dar-es-salaam kwenda Mwanza.
Asante nasubiri majibu yenu wajuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
DarluxNaomba kuuliza ni kampuni gani ya bus yenye ubora wa safari kama mwendo wa kawaida, music, Wi-Fi, charge system n.k (daraja la kwanza) kutoka Dar-es-salaam kwenda Mwanza.
Asante nasubiri majibu yenu wajuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeuri kivipi tena mzee,wakat saiv kuna waremboDar lux wazuri ila baadhi ya madereva ni jeuri kupindukia...kwa ujumla hakuna kampuni nzuri kwa usafiri
Hahahaha mhanga utamjua tuJeuri kivipi tena mzee,wakat saiv kuna warembo
Kwamba mm ndo mmliki wa darlux? Au konda? Au mhanga kivipi yani?Hahahaha mhanga utamjua tu
Jamani mnaofahamu maana ya mhanga au uhanga nisaidieni kumjibu ndugu yetu.,.tehtetehKwamba mm ndo mmliki wa darlux? Au konda? Au mhanga kivipi yani?
Me nimemkaribisha tu sababu me pia mteja wao