KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,500
- 2,781
Nilipanda Dar lux nilivyokuwa nakujaUkweli mketa mada umeleta hoja mbili,
mosi, Unataka gari LA luxuary
pili, Unataka lisilolala njiani.
Waliokujibu hapo juu wamekujibu kwa ujumla tu.
IPO hivi,
Mosi, Ikiwa Unataka luxury basis bila kujali hata kama utalala njiani Mara nyingi huwa in Morogoro, Kwa hoja yako ya Luxury bus basi, Panda DAR LUX. Ila kupata tiketi zao in mbinde inawateja wengi na nauri Yake kama sijakosea no 60,000/ Kutoka MWANZA To Dar.
Pili, Ikiwa Unataka kufika tu bila kulala njiani , Gari ambayo sio luxury lakini halilali njiani na linafika ubungo SAA sita usiku, Basi Panda ISAMILO BASI
Kwahiyo uamuzi ni wako, Uchukue luxuary ulale njiani au Siyo luxury ili usilale njiani.
Luxiury ni 50k
La kawaida ni 45k
Nilifika DSM saa2340hrs