Ushauri, safari ya Dar-Mwanza: Basi gani ni zuri kupanda kwa sasa?

KISBO ilikua kampuni yangu pendwa ila kwasasa naona kama imechoka sanaa..DAR LUX siwaamin sanaa
 
Kwamba mm ndo mmliki wa darlux? Au konda? Au mhanga kivipi yani?

Me nimemkaribisha tu sababu me pia mteja wao
Jamani mnaofahamu maana ya mhanga au uhanga nisaidieni kumjibu ndugu yetu.,.tehteteh
 
Kwa ubora wa Basi Ile luxury Kamata Happy nation au Isamilo Express!! Kwà kukimbia Yaan saa 5 uwe Mwanza Japo Sio mbaya sana kamata Ally's star au Tungi's!! Zaidi ya hizi gari usipande labda Kisesa na zuberi tu

Typed Using KIDOLE
 
Back
Top Bottom