Ushauri: Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe

Ushauri: Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe

Mh! Huyo mamamkwe atakua mchawi...anapeperuka usiku. Hao ndio wale wanadondikaga na ungo sokoni mchana peupeee

Aliyekaa nae miaka minne hiyo kasoro hajaiona yeye alokaa nae cku mbili ama masaa machache kaona ni kasoro kubwaa....

Swali ni je, huyo mtoto Wake akioa mwanamke ambaye hana kithembe, halafu akazaa mtoto mwenye kitheme (mjukuu) atamkataa kwa kuwa ana kithembe ?! Maana hii ni dunia jamani ...don't say that won't happen to me/my family, life has the funny way to prove us wrong....Huyo dada hakuchagua kuwa na kithembe....Ohooo......
Na kweli afu pia kabla hujafa hujaumbika
 
Pole yake, amsikilize huyo mwanaume wake anasemaje ila Kama ndo wale wakushikwa akili na Mama zao imekula kwake.

Haya mambo haya yalinifanyaga niwe naomba Mungu anipe Mume yatima, Mungu naye kaninyima kanizawadia na mawifi watano juu afu waswahili si kidogo ila nilivyo nunda tutaeshimiana tu.
 
Teeeena wasikusumbue kabsa. Wakalambe ndimu huko [emoji14]
 
Hata ingekuwa mimi ningemkataa kata kata, watu wenye visembe wachonganishi sana anaweza chonganisha familia nzima, mtaa na hata nchi nzima.
Tumwache tu akataliwe na akataliwe tu maana hakuna namna.
Duh umetisha.
 
Wadada mnazidi kukaa uchi, kutofanya kazi, kupika tu hamjui , maringo wanawake wa whatsapp atafute anaefanana nae.
 
Yani huyo bf wake kashindwa kumletea aendeleee kuwa nae.. au naye alikuwa amechoka?
 
kakatiliwa na mama mkwe, je jamaa anasema nini ? au ni mtoto wa 'mama' hana la kusema au kuwa na msimamo wa kuangalia haki?
 
Back
Top Bottom