Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
Hapana, hapo kuna la ziada.Ndio
Hapana, hapo kuna la ziada.Ndio
Aache utoto, huwezi kumfurahisha kila mtu duniani, utakuwa kichaa.Mchumba hajamkata ila yuko comfused anataka awafurahishe wote na haiwezekani so it's complicated
Hao wanawake wenye vithembe wanakuwaga WATAMU BALAAA naona mama mkwe kaona mwanae anafaudu udora
KwakwelAache utoto, huwezi kumfurahisha kila mtu duniani, utakuwa kichaa.
Mimba sio solution unaweza pewa mimba mwisho wa sku akaolewa mwingineAmpige mimba shemela wetu watampa wenyeweeee
Aisha queen,ngoja nikujie PM,nitakuelewesha zaidi mamii.Nn iyo
Bado kuna wamama wa hivi?
Huyo mama yeye mabinti zake wapo sawa asilimia mia?
Nipe no ya huyo mdada
Tia mimba huyu binding kisha muache
Ss wanawake tuna matatzo sn mkuu, mungu tu atusaidieAlimwambia Live huyo binti au? au huyo mama alikuwa anamaanisha au?
kama ni Live na alikuwa anamaanisha, basi Huyo kijana wake na yeye atawazaa watoto wenye Kithembe, Mungu hadhiakiwi, mimi nina ushuhuda ndugu zangu ingawa huwa sipendi kusimulia....
Mama mkwe Mungu amuweke hai ili ashuhudie Wajukuu wake wote au baadhi wakizaliwa na hali hiyo...
Maajabu ya Mungu, hao Wajukuu wake na wao wakikua watakataliwa hivyo hivyo wakipelekwa Kutambulishwa.
Mwambie huyo kijana aandike hilo tukio kwenye diary yake kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka ijayo ili ikitokea wasitafute mchawi wao.
Alichotakiwa kufanya huyo mama mkwe, sio kumtamkia live au kumwambia kijana waje sababu hiyo, yeye angekaa na sababu yake moyoni afu amtafutie tu kijisababu kingine.
Habari wana JF,
Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa
Kwakweli anahitaji ushauri na maombi yenu, maana hayuko sawa kabisa.
Ushauri wenu ni kitu cha muhimu kwa sasa.
Kabla sijatoa ushauri ningependa kujua msimamo wa huyo mchumba wake.