Ushauri: Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe

Hata ingekuwa mimi ningemkataa kata kata, watu wenye visembe wachonganishi sana anaweza chonganisha familia nzima, mtaa na hata nchi nzima.
Tumwache tu akataliwe na akataliwe tu maana hakuna namna.

Hahaha dah
 
Habari wana JF,

Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa

Kwakweli anahitaji ushauri na maombi yenu, maana hayuko sawa kabisa.

Ushauri wenu ni kitu cha muhimu kwa sasa.
'This may also be a blessing in disguise'
 
Hata ingekuwa mimi ningemkataa kata kata, watu wenye visembe wachonganishi sana anaweza chonganisha familia nzima, mtaa na hata nchi nzima.
Tumwache tu akataliwe na akataliwe tu maana hakuna namna.
mkuu nani kathema ?
 
Kidhedhe ni aina ya usemaji kwa kubana ulimi[ulemavu fulani hivi] hakina uhusiano wowote ule na tabia ya mtu.
vile vile kuna aina ya watu [nikiwa mmoja wapo ] ambao huona wanawake wanamna hiyo wanakuwa very romantic wanapozungumza.
 
mkuu nani kathema ?
Ni simpo sana kujua kweli, wafuatilie tu hao watu ndani ya siku moja utajua ukweli. hawa ni watu wenye kuuma na kupuliza kaa mbali. kama nawe ni mmoja wapo anza kujichunguza hususan stori na maneno unayowalisha watu wako wa karibu.
wenye kithembe ni watu wa kutoa siri za ndani pia.
 
Asee kumbe Wana kipaji kingine tena
 
Ni simpo sana kujua kweli, wafuatilie tu hao watu ndani ya siku moja utajua ukweli. hawa ni watu wenye kuuma na kupuliza kaa mbali. kama nawe ni mmoja wapo anza kujichunguza hususan stori na maneno unayowalisha watu wako wa karibu.
wenye kithembe ni watu wa kutoa siri za ndani pia.

Itabidi tufanye utafiti maana
 
Ni simpo sana kujua kweli, wafuatilie tu hao watu ndani ya siku moja utajua ukweli. hawa ni watu wenye kuuma na kupuliza kaa mbali. kama nawe ni mmoja wapo anza kujichunguza hususan stori na maneno unayowalisha watu wako wa karibu.
wenye kithembe ni watu wa kutoa siri za ndani pia.
Mm ninacho sijawah kuchonganisha mtu maishani..that is fallacy of hasty generalization..Haijalishi umekutana nao wangapi.
 
Dah bora mje mtupe ukweli
Mtu akikukataa anakutafutia sababu..Nishawahi kumsikia mama mmoja akimuambia rafiki yake hampendi mkwe mtarajiwa ana kichwa kikubwa.

Sisi wakwe wa kesho yapasa kujifunza...pia wanaume waangalie wanaoendana na tabia za kwao.
 
Back
Top Bottom