Ushauri: Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe

Ushauri: Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe

Imeandikwa utaachana na wazazi wako na kuambatana na mkeo. MTU ulomchagua apaswi kuwekewa kikwazo chochote kwa wazaz wako so akae chini amuombe Mungu Mchumba wake sio huyo bado mwenyewe yupo uyo bwana alikua nimapito na majaribu2,maana kama angekua wake asinvesikiliza huo ujinga na upumbavu wa mama yake.Mke au Mme bora utoka kwa Mungu ivo Mme wake bado yupo asikate tamaa zaid apunguze mawazo na kuzid kumuomba Mungu Atapatkana2 mchumba halisi na Mwenye msimamo.

Ahsante kwa ushauri mzr nduguu
 
Amtafute mwenyewe asiharibu ukoo wa watu bure labda hyo ni familia yenye class wanakuja watu mashuhuri yeye akiambiwa aseme' sir' anasema' thir'!

Hahaha jmn thatha thindo alivo
 
Unajua wanawake wengi hutaka sana wao matatizo yao yaonekane ya kawaida na kuvumiliwa na wanaume,wao sio wavumilivu,acha aisome namba,Shikamoo mama mkwe!

Namba kashazisoma zote asee
 
Dawa ni moja tu,mwanaume amchukue mchumba wake akafunge nae ndoa bomani,baada ya hapo mambo kwishney,hakuna kithembe wala kinembe au kisimi,mama mkwe holaaaaaaaaaaaa marabuku.
Inategemea msimamo wa mwanaume mwenyewe. Ukute ni wale wasiojua kusimamia kitu
 
Back
Top Bottom