ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

we vipi bana, watu wengine mnawaza uchafu tu.

nina maana kwamba haogopewi huko nje na vimada maana wanamchambua nje ndani.

sasa kama kashindwa kutawala small house je ataweza tawala big house?

mi nahitaji mwanaume mtawala bana

Punguza munkari Ayanda, kama ndivi ilivyo basi kuna haja ya kukaa chini na kuwa na Mutual Agreement ila msisahau na upande wa tatu wa watoto.
 
mawazo ka kitoto sana

mtu haangalii zaidi ya mita moja kimaisha

all the best
 
Huna lolote, mbona huyo jamaa umempa K na kakutotolesha watoto wawili, halafu unasema humzimiki. Ulimpaje K?

Wewe sema bana kuwa sasa umeshazidiwa nguvu na nyumba ndogo, umekuja hapa ili upate ''public sympathy'' na ''moral support'' ya kuvunja ndoa yako......waswahili wanasema maji yameshazidi unga mama....wewe jikate tu kimpango wako mwachie nyumba ndogo aendeleze libeneke!


hivi mbona nyie wabongo wengine vichwa maji?

hapa hakuna nymba ndogo kuna hawara.

je unajua umri wa hao watoto wetu.

ila nimependa ushauri wako, nitajikata tu kimpango wangu kiukweli maana nilishajikata zamani kwa kujificha.

Bora maji yazidi unga, unaweza pika uji. Hapa unga umezidi maji sijui itakuaje
 
Ha ha ha nimecheka hadi secretary kaja kunichek lol mbona wamtusi bibi wa watu?mvumilie mumeo hata kama ni mwanaume suruali

sijamtusi bana.

unajua kuna watu wengine wanafiki sana,

sasa hapa JF ninamuogopa nani?

nani anaweza nijua hapa, anyway usikute ndo wife wa huyo jamaa wangu wa 42 yrs!

Watu hawajui tu, mi mtu akiniona nilivyo mtakatifu kwa nje huwezi amini ndo Ayanda Crazy gal
 
Pole sana kwa maamuzi yako. Wanawake wengi wamekuwa wakiishi katika ndoa kwa ajili ya kuogopa watoto wao kupata shida baadaye kwa kulelewa na mama wa kambo au baba wa kambo.

Ukiisha achana na mmeo watoto wako utawaacha wapi? Kumbuka watoto wako bado wadogo sana. Jitahidi kulea watoto wako katika ndoa. Maana maisha ya utalaka nayo yana shida zake.
 
Ha ha ha nimecheka hadi secretary kaja kunichek lol mbona wamtusi bibi wa watu?mvumilie mumeo hata kama ni mwanaume suruali

bado wewe,unaolewa lini?usinisahau kadi mie,pia jamaa akikucheat uje nikupe ushauri shost
 
Shauri lako nasikia ni mod huyo,atamerge akaunti yako anakiherehere huyooo watch out
sijamtusi bana.

unajua kuna watu wengine wanafiki sana,

sasa hapa JF ninamuogopa nani?

nani anaweza nijua hapa, anyway usikute ndo wife wa huyo jamaa wangu wa 42 yrs!

Watu hawajui tu, mi mtu akiniona nilivyo mtakatifu kwa nje huwezi amini ndo Ayanda Crazy gal
 
mbona is simpo?why dont you just be at ur hubby's house and keep cheating on each other freely so that by the time ARV's are no longer helpful u will be there to help each other since sex didnt help..just thinking

Mh!hili nalo neno!
 
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.

ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.

Hebu fikiria mara mbili mbili kabla haujafanya maamuzi ambayo baadae yaweza kuja kuwa majuto kwako.

Kwahiyo kama mumeo alikucheat huko nyuma ndio na wewe uchukue maamuzi yakulipiza kisasi? Nadhani hautokuwa sahihi hata kidogo. Je mlikwisha yazungumza kuhusu hizo cheats anazokufanyia? Kama mlishazungumza, hamna mabadiliko yoyote? Na kama hamna mabadiliko yoyote, Je mlisha washirikisha wazazi wenu katika kulitatua jambo hilo?

anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.

Unafikiria ukipata divorce ndo utakuwa kwenye real marriage.
Talaka sio suluhusho ya kupata ndoa nzuri, ila ni ninyi wenyewe(wanandoa) kuwa wakweli na wawazi katika mapenzi yenu. Kuelezana ukweli kutamfanya kila mmoja kujua mapungufu yake na kumfanya ajirekebishe.

Pia uvumilivu utaendelea kuiimarisha ndoa yenu na kuwa yenye amani na furaha kila wakati.

Nakutakia maisha mazuri katika ndoa yako.
 
tatizo hakuna is just that, nimebugi mennnnnnn

tangu zamani nilikua navutika na wanaume wakali na wacheshi pia, yaani nataka nimuogope ndo nitamheshimu yaani kama watz tulivyomuogopa nyerere na tukampenda sana basi na mie ndo hivyo hivyo.

sasa mi simheshimu maana anaburuzwa nje, sasa why mie nimheshimu na siwezi ishi na dume nisililiheshimu

hahahaaa.... ayanda umenifurahisha, me mwenyewe napenda mme mkari kiasi then mcheshi ili pale ninapokosea aweze kuning'ata na kunipuliza sio unakaa na dume ndani kama zezeta halijui baya wala zuri lipolipo tu...!

Btt; usijaribu kuikimbia nyumba yako, kaa kwako lea wanao then usiwaamini saana waume wa nje, wengine wanakupenda ukiwa kwako ukisha vunja ndoa yako tu nawenyewe wanajisepesha.
 
mie sitaki aache na infact nimeshamwambia asimuache maana sasa k kwangu hapati.

kuwa nyumba ndogo kwa yule jamaa wa 42 yrs ni better kuliko huyu ninaemuita eti mume lol
kwa hiyo unataka ukavuruge ndoa ya mwenzako?maana ulivyokuwa unatukanana na hawara ya mumeo ndo unaenda kuwa unatukanana na mke wa jamaa wa 42 yrs,then unafikiri nini kitatokea?yule mama akiwa na tabia kama zako na yeye atafanya kama ulivyofanya wewe,then mnatengeneza dunia ipi.A BETTER FAMILY IS A FOUNDATION OF A BETTER WOLRD,then tumia akili na sio kusukumwa na emotions kama mtoto teenager
 
Shauri lako nasikia ni mod huyo,atamerge akaunti yako anakiherehere huyooo watch out

ha ha ha ha sasa akimerge akaunti ya JF nitakua nimepoteza nini hasa maishani?

Cousin bana acha kunichekesha, akaunti zangu za benki bado zenyewe wamenifungia na bado sijaenda kufuatilia sembuse akaunti ya JF ya kupotezea stress tu.

ah afanye lolote
 
kwa hiyo unataka ukavuruge ndoa ya mwenzako?maana ulivyokuwa unatukanana na hawara ya mumeo ndo unaenda kuwa unatukanana na mke wa jamaa wa 42 yrs,then unafikiri nini kitatokea?yule mama akiwa na tabia kama zako na yeye atafanya kama ulivyofanya wewe,then mnatengeneza dunia ipi.A BETTER FAMILY IS A FOUNDATION OF A BETTER WOLRD,then tumia akili na sio kusukumwa na emotions kama mtoto teenager

HAPANA dear mi siwezi tukanana na wife ya mutu bana, mi nakula changu kwa muda wangu. Matusi ya nini bana!

sina uwezo wa kuvuruga ndoa ya mtu, the fact huyo jamaa ananingangania then definately hiyo ndoa imeshavurugika ila hawajui tu.

sina muda wa kutukanana na pia mi sio teenager
 
In marital problems, always seek expert advice. You would not go to a carpenter to pull a tooth; neither should you discuss your marriage problems with relatives or friends. If you need counsel, go to a trained person. You may find the following helpful if you go through them with patience:

The best time to prevent divorce is before marriage

Marriage does not guarantee happiness. People find happiness by dwelling on the eternal truths of God and the spiritual values of life. Then, the man and woman can contribute to each other's happiness and joy.

None of us is perfect, and that holds for marriage partners as well. But if you have a good look inside your own mind and study your character and behavior, you will find enough shortcomings to keep you busy the rest of your life.

You are mentally divorced when you indulge in peeves, grudges, ill will, and hostility toward your marriage partner. Cease projecting fear patterns to your marriage partner. Project love, peace, harmony, and good will, and your marriage will grow more beautiful and more wonderful through the years.

Radiate love, peace and good will to each other. These vibrations are picked up by the subconscious mind resulting in mutual trust, affection, and respect.

Lastly, pray together and you will stay together. Scientific prayer solves all problems. Do not take your husband for granted. Show your appreciation and good will, rather than condemnation, criticism, and nagging. Mentally see your husband as he ought to be, strong, powerful, loving, harmonious, and kind. Maintain this mental picture, and you will experience the marriage made in heaven, which is harmony and peace.

Divorce has never been a solution for anyone seeking happiness. Happiness begins within!
 
hahahaaa.... ayanda umenifurahisha, me mwenyewe napenda mme mkari kiasi then mcheshi ili pale ninapokosea aweze kuning'ata na kunipuliza sio unakaa na dume ndani kama zezeta halijui baya wala zuri lipolipo tu...!

Btt; usijaribu kuikimbia nyumba yako, kaa kwako lea wanao then usiwaamini saana waume wa nje, wengine wanakupenda ukiwa kwako ukisha vunja ndoa yako tu nawenyewe wanajisepesha.

hapo kwa RED.

Mi siamini watu waote duniani na si wanaume wa nje tu.

infact hata mi mwenyewe sometimes huwa sijiamini sana na ndio maana nimekuja hapa kupata ideas tofauti.

nashukuru nimepata michango ya kiutu uzima ofkoz na ------- wanaonitukana huwa hawakosekani, nimewazoea
 
Dada naona unakoelekea unaweza hata kumuwekea sumu mumeo
 
kutoka nje ya ndoa ni kuwa ndani ya ndoa yako kuna tatizo.huyu amekuwa muwazi,ndoa nyingi ni mshike mshike tu.usione nje watu wana cheka na kufurahi,ndani pengine ndoa zao ni ndoana.kwa upande wangu mimi mambo ya kuishi kwa ku pretend nipo happy ki ukweli siwezi.ila kwa mtoa mada uamuzi ni wako.fikiria sana kabla ya kuamua maana haito ku cost peke yako.
 
HAPANA dear mi siwezi tukanana na wife ya mutu bana, mi nakula changu kwa muda wangu. Matusi ya nini bana!

sina uwezo wa kuvuruga ndoa ya mtu, the fact huyo jamaa ananingangania then definately hiyo ndoa imeshavurugika ila hawajui tu.


sina muda wa kutukanana na pia mi sio teenager

Shost ngoja nikuambie kitu,according to you uliolewa coz of mtoto so you beliaved everything itakuwa mwake,look now what is happenig,the same unaamini hutagombana na mke wa jamaa but beliave me lazima mtagombana,Refer your reasons why you married your husband,and what is the reality at the moment
 
Back
Top Bottom