salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Sasa na hao watoto je au maslahi yenu wawili ndio yako juu zaidi ya masilahi ya wengine mi naona watu wengine ni kama mcharuko tuuuuuNdio mambo ya kutaka ndoa ili nawe uonekane umeolewa. Ndoa ya aina hiyo ni sawa na kuwa jela au bora kuwa pekee yako kuliko kujisikia mpweke ambapo unamwenzio.
Hii inaonyesha kuwa mmeshachokana huyo kaka wa 42yrs kama ana ndoa yake utaishia kugegedwa tu au kuwekwa kimada iwapo utaamua kuachana na mumeo wa sasa.
Kaeni myazungumze kuliko kupotezeana time, ni bora kujitoa kwenye ndoa hiyo kwa ajili ya kuweka nafsi yako huru na si kwasababu ya kuishia kuwa nyumba ndogo ya mtu mwengine.
Ikiwa huyo jamaa nae ataitosa ndoa yake ili muwe pamoja itakuwa jambo la maana ikiwa hamtoafikiana usikubali kuwa mjinga, huyo alifata kiburudisho.
Sasa na hao watoto je au maslahi yenu wawili ndio yako juu zaidi ya masilahi ya wengine mi naona watu wengine ni kama mcharuko tuuuuu
Siku hizi hata wanawake wanaoa ungejaribu anga hizohujakosea mi ni mcharuko, na nijijua na ndo maana it takes mwanaume mkali kunihandle otherwise nitamburuza
Siku hizi hata wanawake wanaoa ungejaribu anga hizo
Sasa na hao watoto je au maslahi yenu wawili ndio yako juu zaidi ya masilahi ya wengine mi naona watu wengine ni kama mcharuko tuuuuu
A Happy family won't grow in this type of relationship. Unaweza kuwa single parent ukawalea watoto wako vema kuliko kuwa wawili na mkaishia kusambaratisha familia, maana muda mwingi mtaishia kusuluhisha matatizo yenu kuliko kuangalia lipi jema kwa watoto.
Kama nilivyosema, wakae tu wayazungumze kuliko kuishi hivyo eti for the sake of kids. Hao watoto wakikua will understand the reason of separation.

hapa utazuga sana, ila ndo hivyo wala hunipeleki chaka, nimeshakusoma.
eti ulidhani mi mwanaume lol, yaani hata hunichanganyi baby boy.
hapa watu waongo na wanafiki sana, ila wewe mwongo lol
tena usitake nikuumbue hapa ha ha ha ha ha
Mimi si muongo hebu, prove uongo wangu.
eti hujawahi saliti wife? eti hujawahi kunywa pombe! eti unafanya kazi serikalini! eti wife ni housewife!
Hapa ndio penye msingi wa matatizo ya ndoa yenu unayosema haina matatizo!mh yani watu mnakisia yenu tu.
my family has no problems, watoto wanalelewa vizuri sana tu.
muda mwingi tunatumia kupanga mambo ya msingi tena hivi sasa ndo tupo bize kukimbizana na pesa na wala hatukai kusolve matatizo maana hayapo for real!
situation yangu naona haijaeleweka kwa wengi.
Sasa uongo wangu ktk hayo unatoka wapi? Au unataka nikujib kwa kadri unavyotaka wewe kwamba:nina wanawake nje ya ndoa,huwa nakunywa pombe,sina kaz serikalini,my wife sio mama wa nyumbani,majib unayoyataka wewe ni hayo si ndo hivyo eeeh! Wasalimie huko mtani usimsahau na mwanaume mwenzangu hapo.
Hapa ndio penye msingi wa matatizo ya ndoa yenu unayosema haina matatizo!
Kama mko busy sana kukimbizana na pesa, si vibaya mkiwa busy pia kukimbizana na penzi lenu.
Sasa uongo wangu ktk hayo unatoka wapi? Au unataka nikujib kwa kadri unavyotaka wewe kwamba:nina wanawake nje ya ndoa,huwa nakunywa pombe,sina kaz serikalini,my wife sio mama wa nyumbani,majib unayoyataka wewe ni hayo si ndo hivyo eeeh! Wasalimie huko mtani usimsahau na mwanaume mwenzangu hapo.
Ndio hapo mimi mnaponichosha kabisa....yaani kila kitu mnamsingizia shetani....huyu ni mpumbavu asiyejua nini anataka kwenye maisha, sasa shetani kachangia nini hapo.