ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

Wala si mke na mme,majembe tu kugongana hata nami nilianza kuwaza hivyo mtu anaweza sema mimi nae ni mke na mme. Lakin ndo dunia yenyewe hiyo na kuzunguka kwake!

hii ipo sana humu ,mana wapnz wengine wote wapo humuhumu ila hamna anayefahamu id ya mwenzake,sasa inapotokea ishu imekugusa au imefanana mnaanza kujibizana bila kujielewa unajibizana na mkeo
 
Unaikumbuka sababu iliyokufanya ukubali kuolewa na huyo hubby wako? Je haiko valid tena?

sababu bado ipo valid sana ndo maana nikasema nipo kwenye ndoa kimajukumu zaidi, na nikisema majukumu namaanisha watoto.
 
hivi ayanda wazo la divorce bado lipo au lilishayeyukaga..........
leo nilikuwa napitia tena hii thread yetu

lipo pending tu,

mimi na husband kwa sasa tupo busy na ishu nyingine za kimajukumu zaidi.

kwahiyo kwa sasa divorce sio kipaumbele namba moja.
 
hii ipo sana humu ,mana wapnz wengine wote wapo humuhumu ila hamna anayefahamu id ya mwenzake,sasa inapotokea ishu imekugusa au imefanana mnaanza kujibizana bila kujielewa unajibizana na mkeo

wewe huyu kafman atakuaje mume wangu?

huyu tunajuana sana tu, ila anajitahidi kuchanganya habari ili nisigundue kama ni yeye. Maybe hataki nijui ishu zake na mkewe.

cha ajabu tukikutana hakuna anayeongelea mambo ya JF, wakati so tumeshajuana.

ndo alivyo tu huyu mtu, anaweka eti mambo ya ndoa yake private, sasa nimemgundua hapa hapa JF.
 
Tunakutana wap ayanda mi na wewe? Unajua unaweza kuwa unanifananisha na mtu mwingine araf unasema ndo mim,sasa twende PM haraf ufunguke kutoka kwenye uvungu wa moyo wako kwa kunitaja jina langu halis,huwa tunakutana wapi na mambo mengine kama hayo! Unajua tunaweza kuwa tunajadili mambo hapa kwa kuamin ni mtu fulan kumbe siye.
 
Tunakutana wap ayanda mi na wewe? Unajua unaweza kuwa unanifananisha na mtu mwingind araf unasema ndo mim,sasa twende PM haraf ufunge kutoka kwenye uvung wa moyo wako kwa kunitaja jina lang halis,huwa tunakutana wapi na mambo mengine kama hayo! Unajua tunaweza kuwa tunajadili mambo hapa kwa kuamin ni mtu fulan kumbe siye.

POWA. tutachekiana PM but mimi nipo serious

wewe mwenyewe unajua ila tu unataka kupindisha habari.

YAANI U THINK NATANIA OR? OFKOZ UNAJUA UKWELI BANA
 
POWA. tutachekiana PM but mimi nipo serious

wewe mwenyewe unajua ila tu unataka kupindisha habari.

YAANI U THINK NATANIA OR? OFKOZ UNAJUA UKWELI BANA

Kafman akikuzingua Mimi nipo Kama reserve, wewe Ni PM tu.
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Uo udhaif uliouona jenga ktk positive way utafk mbal hutajutia kumuacha
 
Huyo jamaa wa 42 hana mke?au naye anataka kumuacha?Wewe una mume lakini umemsaliti mara nyingi tangu uolewe au hujawahi kumsaliti?
 
Ni kumbu kumbu zangu ndogo au? Hv sio wewe uliekua unalalamika mme wako uliekutana nae JF ukamsomesha na mkopo ukakopa kumpeleka mwanae shule, anakisirani sijui analulazmisha sex, anakutesa na mengne? Kama ni kweli ulimuacha yule ukaja kwa huyu wa jf hio maana halisi ya karma. Kama nimechanganya madesa nisamehe.
 
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.

Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Una pepo ww omba mungu liondoke, ukiachika tuu na hilo shababi linakuacha. Utakuja hapa hapa kutoa ushuhuda
 
Back
Top Bottom