Uyo uliyenae ndo stahiki yako kabisa, ukijaribu kuachana nae utavurunda kuliko unavovurunda sasa ivi,.. Bora muongee yaishe, sema una kauselfish flani ivi, unahisi ni wazi kuwa upo kwenye ndoa ili wewe ujisikie vyema, haiko ivo,... Nenda kwa mumewe uongee nae, muspark ur marriage life again, ila ukisema ujisikii chochote kuhusu ii ndoa, ni kutokua na imani na mwenzako,... Shirikisha watu weny busara wakusaidie, ila ukifanya maamuzi mwenyew utapotea, Ahsantetuna watoto wawili.
yaani tunalala pamoja ila ni kwamba tupo mbali mbali tayari.
mnielewe kwamba hatugombani infact tunaongea fresh tu stori, yaani tukitoka job tunaketi sebuleni na kupiga stori tu ama siasa au mengine ya kijamii tu. Inshort we dont feel each other, na mi napenda wanaume weusi sana and yeye ni mweupe na pia na yeye atakua anazimikia size fulani ya mwanamke maana huyo hawara yake ni umbo tofauti na mimi.
yaani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.
MWAMBIE AJE KWANGUU NIMPATIE KUMBATIO LA MOYO ATIItuna watoto wawili.
yaani tunalala pamoja ila ni kwamba tupo mbali mbali tayari.
mnielewe kwamba hatugombani infact tunaongea fresh tu stori, yaani tukitoka job tunaketi sebuleni na kupiga stori tu ama siasa au mengine ya kijamii tu. Inshort we dont feel each other, na mi napenda wanaume weusi sana and yeye ni mweupe na pia na yeye atakua anazimikia size fulani ya mwanamke maana huyo hawara yake ni umbo tofauti na mimi.
yaani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.
Daaaa...naelewa sana unavyojisikia,,polee sn,ila mshauri wa mwisho na wa kweli hapo ni ww mwenyew, hakuna anayeweza elewa hisia zako au anayejua unavyojisikia zaidi ya yule ambaye alishapita huko au ww mwwnyew tu....unahitaji maamuz magumu..pia its not bad sometimes to be selfish...si vibaya ukawa na maamuz ynye faida kwako kdogo na moyo wako...30 yrs ukijipenda bado una chance ya kuwa happy again na new relationship..but pia n vzur ukajipa break kdogo bila kuwa na yyte...kilichokusha hapo n hzo cheating za mumeo...simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.
ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.
anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.
we ndoa gani mwanaume nalala nae kama mwanangu au bro wangu na hata akinivuta sijisikii kabisa na sometimes namwambia wazi amtafute hawara ampe kidogo maana mi simfeel.Yana anajua simfeel, mi huwa ni muwazi sana sinaga uongo.
kwakweli sieleweki.
mi kucheatiwa sio ishu, ishu ni kwamba alicheat kijinga sasa nikagundua then nikamdharau na kunuona less of a man ( mwanaume wa ukwee hafumaniwi hata kwenye cmu).
ishu ni kwamba, simfeel sababu ninashindwa kumuogopa wala kumpa respect as a man and head of a family.
hiyo ndo hasa sababu.
Km ndio kuchokana inafikia hivi wanawake mungu anawaonayaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
We ndio unanishtua kumbe inafikia hatua hizo tiririka mwanangu tujifunzetuna watoto wawili.
yaani tunalala pamoja ila ni kwamba tupo mbali mbali tayari.
mnielewe kwamba hatugombani infact tunaongea fresh tu stori, yaani tukitoka job tunaketi sebuleni na kupiga stori tu ama siasa au mengine ya kijamii tu. Inshort we dont feel each other, na mi napenda wanaume weusi sana and yeye ni mweupe na pia na yeye atakua anazimikia size fulani ya mwanamke maana huyo hawara yake ni umbo tofauti na mimi.
yaani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.
tuna watoto wawili.

Hii ni thread ya 2013Jamani, juzi umekuja na thread, "Tahadhali wanaotafuta wachumba JF," kuwa eti oooh jamaa anataka K mara 3 kwa siku. Hatujamaliza kukufunda, mara unawaza divorce. Swali na yupi una divorce naye, ushachanganya issues...
aani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.
Ndyo huyuuNi kumbu kumbu zangu ndogo au? Hv sio wewe uliekua unalalamika mme wako uliekutana nae JF ukamsomesha na mkopo ukakopa kumpeleka mwanae shule, anakisirani sijui analulazmisha sex, anakutesa na mengne? Kama ni kweli ulimuacha yule ukaja kwa huyu wa jf hio maana halisi ya karma. Kama nimechanganya madesa nisamehe.
Dah yani haya mambo bana. Hii post imenichosha sanaaa. Ghafla nimeingiwa na deep worry, mara woga yani. Hii post specifically imenitoa mood kabisa. Daah OMG
usiogope!...teh!!
usiogope!
Anayoyapitia yy si utakayoyapia ww
huu uzi ni wa 2013, wamefukua makaburiJamani, juzi umekuja na thread, "Tahadhali wanaotafuta wachumba JF," kuwa eti oooh jamaa anataka K mara 3 kwa siku. Hatujamaliza kukufunda, mara unawaza divorce. Swali na yupi una divorce naye, ushachanganya issues...
Nakuelewa sanaaaDaah hapana man.
Ivi ushawahi kupenda ww ?? Nimekaa nimevuta hisia kwa mwanamke ninayempenda kwa moyo wangu wooote alaf aje kuniambia au kunifanyia mambo kama hayo. Hapana man. Thats just terrible.
Love doesn’t need to be soo Hurtful.
Nakuelewa sanaaa
Wanawake huwa tu ajifunza kupenda ,lkn sio kwa mwanaume!
Mwanaume km kakupenda ni hivyo na km hakupendi ni hivyo tofauti na mwanamke, mwanamke anaweza akawa hakupendi lkn ukamfanya akupende!
Na pia akikupenda ,kuna vitu vidogovidogo sn unaweza kua unamfanyia vikamfanya asikupende!
Kazi ni kwako!