ushauri pliz: Nafikiria divorce

Haya ndo makosa yako!!
 

Acha usharobalo wako kama hakupigi pumbu vizuri ndo kiwe chanzo cha kumwacha ?
 
Kweli wewe una matatizo ya illusion; Marriage is a covenant and not a contract; upo hapo!
 

Nilihisi kama kuna dada mmoja aliwah kuwa rafiki yangu wakati tunasoma tena alikuwa anakaa kwa makamu mkuu wa shule. Your region nimejua kutokana na uchunguzi mdogo tu,si vyema kukwambia hapa.
 
pole sana naona unaumia mwenyewe lol hebu ngoja nichek nahisi kuna tusi nilikutukana juzi nadhani bado una hasira na mimi, yaani ungejua mwenzio walaaaa ndo kwanza naona raha!

Unanifanya nicheke na kufurah sana we na huyo nanjilinji. Daaah!
 
So sure and still asking for advise.
Something is not in its place here, ila u mzuri na mwepesi kwa gumzo. Tunaenjoy. Asante.
 
ndoa nyingi in a real sense hazina upendo watu wanaishi kama mazoea ty,so usihangaike kwenda kwingine bana hapo hapo mambo yanaweza kuwa tofauti mkapendana kama mwanzo...
 
Mmh wewe ni wale wanaolewa waonekana umeolewa. Wakati unaolewa ukiona rangi ya mumeo? Tatizo ni wewe mwenyewe, uamuzi unao mwenyewe ila ukae ukijua hakuna ndoa rahisi kuna up and down
 

Duh . . .!!
Hiyo ndoa yako majanga besti, we jiondokeage tu mwaya.
 
Nilihisi kama kuna dada mmoja aliwah kuwa rafiki yangu wakati tunasoma tena alikuwa anakaa kwa makamu mkuu wa shule. Your region nimejua kutokana na uchunguzi mdogo tu,si vyema kukwambia hapa.

hivi shule huwa zina makamu mkuu jamani? nijuavyo mimi Makamu Mkuu ni kwenye Universities only.

my region is iringa, kwahiyo uchunguzi wako hauko makini kabisa.

ukitaka hata kuniambia hapa , haina shobo kwangu ilimradi confidentiality izingatiwe
 
Mmh wewe ni wale wanaolewa waonekana umeolewa. Wakati unaolewa ukiona rangi ya mumeo? Tatizo ni wewe mwenyewe, uamuzi unao mwenyewe ila ukae ukijua hakuna ndoa rahisi kuna up and down

ah bwanae hebu niondokee bwana
 
Unanifanya nicheke na kufurah sana we na huyo nanjilinji. Daaah!

huyu nanjilinji anahisi ananijua sasa anajaribu sijui kuforce kitu gani?

yaani ni wazi kabisa kamaliza form 4 last year sasa yupo pending tu, hajui aende QT ama asubili serikali itoe mwongozo kwa hiyo anajipa raha hapa JF.

BUT nimempenda, he is funny
 
ndoa nyingi in a real sense hazina upendo watu wanaishi kama mazoea ty,so usihangaike kwenda kwingine bana hapo hapo mambo yanaweza kuwa tofauti mkapendana kama mwanzo...

hivi ni wapi nilisema nataka kwenda?
 
huyo shetani aliyekuingia ni mbaya sana, uantakiwa ufanyiwe maombi, lasivyo, unakoelekea utakuja juta siku moja na historia ya maisha yako yote itaharibika irreparably. Mungu anakataa kuachana, pia utakuwa unazini maisha yako yote ukiachana na mume wako wa ndoa...ukitaka aache kufanya hivyo, mwambie haya huyo mumeo kwamba na wewe unawaza kufanya hivyo kwasababu yeye anafanya hivyo. sema tatizo ni kwamba wewe pia umeshatoka sana nje ya ndoa na huyo ex wako hivyo hisia kwa mumeo zimeisha na unasingizia kuwa mumeo mhuni na mke wa mtu amekolea kwa mumeo kumbe wewe baada ya kutoka nje ya ndoa umekolea kwa mme wa mtu. mme wa mtu ni sumu, kama hutauawa kwa kupigana ngumi, unaweza kupigwa juju ukawa kilema maisha yote. HAKUNA UGOMVI MBAYA NA USIOTABIRIKA KAMA UGOMVI WA MAPENZI hasa kwa watu ambao walishafunga ndoa.

mkifunga ndoa mmeunganisha koo pande zote mbili, hata mkiachana kama mwenzi wako hatafanya kitu, ndugu zake wanaweza kukufanya kitu mbaya sana, halafu unaweka historia mbaya sana kwa watoto wako itakayosumbua sana mioyo yao maisha yao yote. watoto wataharibika kabisa ...nina ushahidi huo kwa asilimia kubwa ya watoto waliokulia mazingira hayo unayotaka kwenda. pia nilishawahi kuona mdada mmoja ameachana na mmewe akaenda kuolewa kwingine, hadi ninapoongea hivi amekuwa chizi...alipigwa juju ya kufa mtu....hivyo na wewe kama hautakuwa chini, unawez akupigwa kilema icho ambacho utaona bora ungeishi ndoa isiyo na upendo kuliko kuishi na mume aliyekuwa wa mtu ukawa kilema maisha yote hata hilo tendo la ndoa ukashindwa kufanya kwasababu umekuwa kilema wa ajabu.

mke au mme wa ndoa ni kitu kikubwa sana, ni zaidi ya kuishi kinyumba. hata mkiachana, mumeo huyo ataendelea tu kuona wivu na wewe na hautomtoka moyoni mwake, hivyo anaweza either kukufanyia wewe kitendo kibaya au akamfanyia huyo mwanaume kitendo kibaya. hivyo hivyo na kwa mke wa huyo jamaa unayemwinda, anaweza either akakufanyia wewe kitendo kibaya au mumewe, ukijua kuwa ataendelea kuishi hata kama akiolewa kwingien, lakini ana wivu na mumewe wa ndoa aliyeingia naye agano....AMINI USIAMINI KUMBUKA MANENO YANGU HAYA, UGOMVI UNAOTAKA KUINGIA HUWA UNAGARIMU SANA. pia, ndugu pande zote mbili hawatakuacha bila kukudhuru. na watoto wako watakuwa masifuri.
 
Harafu kweli pm. Dah mi nilishakusahau,pia wakati huo nikawa najua we utakuwa mwanaume.

hapa utazuga sana, ila ndo hivyo wala hunipeleki chaka, nimeshakusoma.

eti ulidhani mi mwanaume lol, yaani hata hunichanganyi baby boy.

hapa watu waongo na wanafiki sana, ila wewe mwongo lol

tena usitake nikuumbue hapa ha ha ha ha ha
 

Ukitaka isiwe inakuzwa siku ingine usiwe unakuja desperate looking for ushauri. Muungwana huchukua ushauri na kuamua kuufanyia kazi au la. Watu wamejitahidi kukusaidia lakini waliotoa ushauri ndo wanaonekana wamekuza hili suala. Yamkini hukujieleza vizuri tangu mwanzo. Enewei, just a caution, siku ingine watu wataiangalia thread yako na kuipotezea wakiogopa kukuza tatizo lako. Just a note for future use.
Pole sana kwa hayo matatizo. Ushauri ushapewa so ni wajibu wako kusuka ama kunyoa.
kila la kheri na mipango yako mipya uliyonayo. Ukikwama huko mbele usisite kuja kuomba ushauri tena. No man is an island. We all depend on one another
 

No hard feeling though
 

asante kaka, ila naona hapo kwenye RED sijui umetoa wapi hiyo.

mimi hakuna ninayemwinda jamani, ila ninatembea na mume wa mtu kwa utashi na mapenzi yangu tu na sijui lini nitaachana nae. Na wala sijutiii na wala sijali na wala sijataka eti sijui mke wake agundue kwanza affair yangu na huyu jamaa haimuhusu mkewe wala mume wangu. PERIOD.

Mimi huwa siwindi jamani na wala sijawahi ona mnyama ambaye ni worth kuwindwa kwenye pori hili la mapenzi.

kuhusu mume wangu, tupo pouwa sana ila ndo hivyo simfeel tu kitandani na ameniangusha kwenye mambo kadhaa na sasa ndo anajirudi ila ndo kama vile nishamdelete kimtindo but mengine yoteeee tunapanga na kufanya kama wazazi wenza.

kuhusu divorce, nimeweka pending kwa sasa tunakimbizana na ishu nyingine za msingi.

sijui nimeeleweka, naona hapa wadau wengi wanadhani sijielewi au nataka kwenda sijui kwa nani sijui nini, yaani watu wanakisia tu wanayowaza wao.

Am gud
 

thanx, ila hapo kwenye RED.

Nimejieleza sanaaaaa na nimereply nadhani kila mtu alieandika kitu chochote.

tatizo watu wanakisia yao ambayo sijasema wala nini na wengine badala ya kushauri wanatukana na kukejeli.

ushauri nimepata na ofkoz nimefanyia kazi na ndo maana kwa sasa hata sifikirii divorce, nina mambo mengine and i dont have much time.

ILA PIGA UA, WADAU HAWAWEZI KU-IGNORE MADA YEYOTE NITAKAYOLETA HAPA INCLUDING YOU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…