ushauri pliz: Nafikiria divorce

ushauri pliz: Nafikiria divorce

tatizo hakuna is just that, nimebugi mennnnnnn

tangu zamani nilikua navutika na wanaume wakali na wacheshi pia, yaani nataka nimuogope ndo nitamheshimu yaani kama watz tulivyomuogopa nyerere na tukampenda sana basi na mie ndo hivyo hivyo.

sasa mi simheshimu maana anaburuzwa nje, sasa why mie nimheshimu na siwezi ishi na dume nisililiheshimu

Embu nisaidie hapo bold, una maana wana 0713 au wanampiga kama mwanao.
 
mhm kumbe mlioana becoz ya kuwa mmezaa....pole. what happened to ile principle ya kwamba utakuwa wagegedwa nje tuu na wala huna presha yoyote?

nimeshajichokea sweetie, maana sasa hata mambo ya maendeleo pamoja na yeye sitaki tena. Yaani nashindwa kufanya certain decisions maana naona kama napita tu kwenye hii ndoa.

am just tired, yaani nimeshajichokea. Kugegedwa nje has nothing to do with my thinking of divorce
 
my dear, nachohitaji ni mwanaume atakenipa advise kwenye mambo mengi si lazima eti niwe nae kwanza sitaki ndoa ya pili hata kama nitapata mwingine tutaishi tu na sio mambo ya kudondoka signatures kwenye cheti cha ndoa.

nitafikiria ishu ya watoto, ila in the mean time kudate nje hakuepukiki

mhm...this sounds very tempting ebu nitafute mwaya nikupe upendacho
 
dah! Hadi naogopa, haya mambo bila Yesu kweli ni magumu!
Nachokiona hapa dada ameshafanya maamuzi!
Halafu i can feel u,maana kuishi na m2 usiemfeel ni issue aisee!
Mungu wangu mbona naogopa kufanya haya maamuzi ss?
 
Embu nisaidie hapo bold, una maana wana 0713 au wanampiga kama mwanao.

we vipi bana, watu wengine mnawaza uchafu tu.

nina maana kwamba haogopewi huko nje na vimada maana wanamchambua nje ndani.

sasa kama kashindwa kutawala small house je ataweza tawala big house?

mi nahitaji mwanaume mtawala bana
 
dah! hivi ziko wapi enzi zile ndoa ikiwa na heshima??
ziko wapi siku zile ambazo ndoa iliitwa siri??
yumkini tumesahau ya wahenga kwamba ndoa ni kumbato la wawili na usiri wa wawili leo hii haya tumeyasahahu.
ayanda usifikiri wanawake wote humu jamvini labda hawacheat kama wewe ama wanaume wote humu jamvini hawacheat kama mumeo. watu wanafanya haya ila wanaheshimu ndoa zao pia, wanaheshimu nafsi zao pia.

sijui unapata wapi guts za kusema eti ninamcheat mume wangu na mtu wa umri fulani, ama sijui unaona sifa gani kusema naivunja ndoa yangu kisa nataka nicheat na mtu. Hebu heshimu wanao, muheshimu mumeo na wazazi wako. ona kwamba unawajibika juu ya kutengeneza familia bora hivyo hata kama uko katikati ya makosa unapaswa kuwa na heshima.

hivi wafikiri ukiachika kisa mume wa mtu ndio utakuwa umepona katka kwenye kucheat?? kama ndoa imekushinda basi ondoka kaanza maisha mapya ila usihubiri mafundisho ya kupotosha watu bado wapo wengi wanaotaka kuoa ama kuolewa usiwahubirie kushindwa.
 
Last edited by a moderator:
mi nataka mwanaume anayepiga nje na huko nje demu aogope hata kunijua ili asimuudhi hubby.

lo mwanaume gani hana ukali kwa kimada wake bana, linaburuzwaaaaaaa sasa mie la nini?

mi hadi nikupe k ni lazima nikuone ni mkali wa kutosha then nitakupa heshima yako na k juu kama huyo jamaa wa 42 yrs

Mimi naona kama vile hujui nini unataka kama mmechokana achaneni tu lakini si kwa malengo kuwa na huyo mzee wa 42yrs. Unahakika gani kama utakuwa kimada ni wewe tu maana ni mjuzi wa kuyatenda na kuyaficha kama ulivyosema mkewe labda aoteshwe

Unajidanganya ni sawa na kuruka mkojo kukanyaga mavi...anyway all the best sister. Rudi kwa mungu wako ongeza maombi
 
tuna watoto wawili.

yaani tunalala pamoja ila ni kwamba tupo mbali mbali tayari.

mnielewe kwamba hatugombani infact tunaongea fresh tu stori, yaani tukitoka job tunaketi sebuleni na kupiga stori tu ama siasa au mengine ya kijamii tu. Inshort we dont feel each other, na mi napenda wanaume weusi sana and yeye ni mweupe na pia na yeye atakua anazimikia size fulani ya mwanamke maana huyo hawara yake ni umbo tofauti na mimi.

yaani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.
Mungu wangu..Kwel hii ni balaa...Huwezi kumpenda au kumwonea wivu mumeo coz tayari una mtu ambaye anakutosheleza kwa yale yote aliyostahil mumeo kukufanyia..Ok..Try this..Wew achana na huyo mpenz wako wa pembeni then uishi kama mumeo ndo kila kitu kwako hususan swala la mapenz na caring nyingine..Hapo lazma utampenda na kumwonea wivu..
Ila tusikushangae na kukulaumu sana coz hawa wanaume Wanajitoaga sana ufahamu kwa kujifanya kuwa na vimada nje.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
follow your heart,ila ukidevorce si ndo utakuwa nyumba ndogo ya huyo mme wa mtu,sasa na mkewe atagundua na hapo matatizo yatakapoanza,fo me ningekuomba achana na huyo mme wa mtu ili ustick na mmeo,hakika mmeo nae ataacha kule kwa mke wa mtu
 
mhm...this sounds very tempting ebu nitafute mwaya nikupe upendacho

nitakutafutaje bana wakati mwenyewe unajua kabisa kwamba am not desperate for any dushelele wala kibamia.

i can get anything i want anytime, you know that.

ishu hapa ni kwamba am just tired
 
follow your heart,ila ukidevorce si ndo utakuwa nyumba ndogo ya huyo mme wa mtu,sasa na mkewe atagundua na hapo matatizo yatakapoanza,fo me ningekuomba achana na huyo mme wa mtu ili ustick na mmeo,hakika mmeo nae ataacha kule kwa mke wa mtu

mie sitaki aache na infact nimeshamwambia asimuache maana sasa k kwangu hapati.

kuwa nyumba ndogo kwa yule jamaa wa 42 yrs ni better kuliko huyu ninaemuita eti mume lol
 
my dear nina akiri kuliko maelezo. Niliolewa sababu ya mtoto tu na wala si kingine maana sikutaka kuzaa watoto tofauti, nilikua mdogo ila sasa watoto tofauti sioni ishu ni maelewano tu ya wazazi.

Huyo jamaa wa 42 yrs, hajazungumzia kuvunja ndoa yake na wala sijali avunje au asivunje.

Yaani hii ndoa na kuwa nyumba ndogo ya jamaa ni bora kuwa nymba ndogo kwa real man kuliko wife wa mwanaume ---- tu anayepelekeshwa na hawara.

mbona is simpo?why dont you just be at ur hubby's house and keep cheating on each other freely so that by the time ARV's are no longer helpful u will be there to help each other since sex didnt help..just thinking
 
mi hadi nikupe k ni lazima nikuone ni mkali wa kutosha then nitakupa heshima yako na k juu kama huyo jamaa wa 42 yrs

Huna lolote, mbona huyo jamaa umempa K na kakutotolesha watoto wawili, halafu unasema humzimiki. Ulimpaje K?

Wewe sema bana kuwa sasa umeshazidiwa nguvu na nyumba ndogo, umekuja hapa ili upate ''public sympathy'' na ''moral support'' ya kuvunja ndoa yako......waswahili wanasema maji yameshazidi unga mama....wewe jikate tu kimpango wako mwachie nyumba ndogo aendeleze libeneke!
 
upo dunia ipi wewe?

talaka ipo hata kwa wakiristo na watu wanaachana na kufunga ndoa upya kama kawa.


Nafahamu talaka kwa wakristo inatolewa mahakamani na si kanisani tena, au nimekosea! Kikubwa talaka iwe last option
 
Haha shosti umenifanya niingie jf muda huu,pole mdada duh i can feel your suspence ndoa ni bonge la UE ambayo binafsi naogopa kuundertake jipe moyo
nimeshajichokea sweetie, maana sasa hata mambo ya maendeleo pamoja na yeye sitaki tena. Yaani nashindwa kufanya certain decisions maana naona kama napita tu kwenye hii ndoa.

am just tired, yaani nimeshajichokea. Kugegedwa nje has nothing to do with my thinking of divorce
 
kwani ndoa iwe ya kikisto, kiislamu ama kiserikali zote si ni ndoa za the same status ama?

anyaway, yetu tulifunga st. joseph 2009

Tafadhali jaribu kuwa upande wa hawa watoto, watapata malezi gani na watalelewa na nani mwenye upendo wa wazazi. Kabla ya kufikiri kuachana tafadhali andaeni mazingira ya malezi bora kwa hawa watoto kwani hawana hatia hata chembe.
 
Back
Top Bottom