Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Hapo kwenye blue nina mashaka inaonyesha unacheat isipokua hujawahi kufumwa. Kama kweli unacheat basi jua kwamba kuna watu wana vifua vya kuweka mambo anaweza kuwa anajua lkn anajifanya hajui kitu. Kuhusu suala la kujenga bila kukushirikisha tunaweza kulitazama kwa namna mbiliHatuna mgogoro wowote serious zaidi ya mambo madogo madogo tu ya kawaida kwenye ndoa
Hajawai nifuma na sidhani kama ananihisi kua namsaliti
Nimfanyakazi katika taasis ya serikali
hope nimejibu
1. Inawezekana ana nia njema ameamua kujipima uwezo kama anaweza kufanya jambo hilo bila msaada toka kwako kwani angekwambia ungeanza kumpangia namna ya kufanya na kuongeza ujuzi wako. Au ameamua kufanya hivyo ili huko mbele aweze kuwasapoti wakwao iwapo kama mambo hayatakua mazuri kwenye ajira huko mbele.
2. Huena anataka kukufanyia surprise so uwe na subira. Au kuna mambo yanamkera kwenye mahusiano yenu sasa kaamua kujipanga mapema. Solution ya hili ni kukaa pamoja na kumuuliza wasi wasi wako juu ya hili, si vizuri kushirikisha ndugu kwani wao huenda wakawa negative kabisaa juu ya hili. Kaa nae vunja ukimya.